Uongo mtupu. Hakuna uchawi.FATALIA HII KESI HIPO KENYA WALA SIO MOVIE.
Acha uongo wako. Hakuna uchawi.Sijui hata USA unafaida gani zaidi ya kuchafua ngozi za watu.Nenda kafatilie kipindi yani unaishi USA kama unaishi CHAUMA
ALIINGIA CHOONI NA KUTOKUONEKANA TENA
Fatili hiki kipindi tokea mwanzo unaweza kuogopa na mwenye hii kesi DCI godfrey wa kenya.Hicho choo hakina dirisha wala mlango? Kama aliweza kuingia basi hata kutoka inawezekana.
Maishani mwako hutokaa uone mtu akipotea kama hewa hata siku moja. Watu kupaa, kuyeyuka, kutokomea kama hewa ni hearsay stories tu za kusimuliana hazina uhalia na hutokaa uone kitu kama hicho.
Kila siku unasikia mtu kaanguka na ungo, wewe umewahi kuona mtu anapaa na ungo zaidi ya story za kusimuliana za watu wajinga? Huwa wanashikwa tayari wapo chini na wakibanwa wanaeleza walivyolipwa na manabii feki au waganga ili kupaisha huduma zao.
huyu tuko naye hapa mbagara tunakula naye mihogo ya 100 ya kukaanga na juice colaUSA hakuna mtu nyani ngabu huko hupo CHAUMA.kama huna bando acha kusumbua watu inawezekana hupo leo mwanza
Hakuna ukweli wowote hapo zaidi ya abdarakadabra tu.USA itakuwa alikwenda ubalozini pale ostabey na kuwadanganya kuwa yupo USA. libishi unamuewekea link lifatilie yeye lina bisha.
Naona jamaa amewatandika risasi, hakuna cha kupeleka mahakamaniFatili hiki kipindi tokea mwanzo unaweza kuogopa na mwenye hii kesi DCI godfrey wa kenya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0ItTAZR_MRk