Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

Nimeona mganga anakula chuma Safi tu. Jamaa anaewapiga chuma wala hashtuki... Aiseee... Kweli wasiojulikana wapo kila mahali
Najaribu kujiuliza, mganga ameshindwaje kuwageuza hao kuwa vichaa? Au mitishambaa yake hairuhusu?
 
Haya ni maigizo tu hakuna lolote
Fatilia ilipotoka we kila siku unalombwa na wanaume tufahamu .fatilia hiko kipi nikama kile cha kiredio youtube ndipo kilianza kujua visa vya watoto
 
Nilivyoona dirisha kweny choo afu hakuna camera iliyoelekezwa pale nkajuq tu ni mchezo wa maigizo
 
Back
Top Bottom