FATILIA HII MIMI MARA YA KWANZA NILIANZA KUKATAA ILA KUNA MTU ANAJIITA Nyani Ngabu WA usa YA MBAGARA SIJUI KAMA BANDO LA KUFATILIA LIPO.Naona jamaa amewatandika risasi, hakuna cha kupeleka mahakamani
USA ya wapi mkuu 😂😂😂.FATILIA HII MIMI MARA YA KWANZA NILIANZA KUKATAA ILA KUNA MTU ANAJIITA Nyani Ngabu WA usa YA MBAGARA SIJUI KAMA BANDO LA KUFATILIA LIPO.
HII NI KWELI wala sio uzushi na huyo mfatiliaji DCI Godfrey wa kenya nairob
We umejuaje kama hayuko kule 😂.Jamaa anawaambia yupo USA kumbe hata nikimfinya makende hata USA hafamu wapi
mi sijaona mtu anabisha haraka wakati wazungu tunaishi nao ukianza kuleta lolote ni mtulivu na kuchukua mda kujua ni nini.Tuna fanya nao kazi huyu yupo simiyu hakuna mtu ambaye anakimbilia kubisha wakati umepewa link.Basi UDSM ndio maana ikampa abbas degree.We umejuaje kama hayuko kule 😂.
Shukuru mungu hajakutukana maana jamaa ni mwepesi wa kutukana.mi sijaona mtu anabisha haraka wakati wazungu tunaishi nao ukianza kuleta lolote ni mtulivu na kuchukua mda kujua ni nini.Tuna fanya nao kazi huyu yupo simiyu hakuna mtu ambaye anakimbilia kubisha wakati umepewa link.Basi UDSM ndio maana ikampa abbas degree.
Pale malampaka au Gambush, au siyo?😂😂toka lini USA wanatukana huyu anatoka simiyu hana lolote
USA ukifika unamzidi mpaka prof wa UDSM kwa kujua watu anaishi vipi.ndio maana ukisafiri kuna mda unajua afrika kuna nyani wala sio kubagua au kejeli ni ukweli.Huyu angekuwa USA hawezi kuwa na akili za nyani yani unapewa link unabisha.Pale malmpaka au Gambush, au siyo?😂😂
Sasa hata kama uko USA kama kazi yako Kila siku unalisha mifugo unaweza kuwa na akili?USA ukifika unamzidi mpaka prof wa UDSM kwa kujua watu anaishi vipi.ndio maana ukisafiri kuna mda unajua afrika kuna nyani wala sio kubagua au kejeli ni ukweli.Huyu angekuwa USA hawezi kuwa na akili za nyani yani unapewa link unabisha.
anazani wale wakina lucas mwashamba unabubujikwa na machozi alafu uweki link
Sikiliza pata nafasi naona waarabu wa saudia kuhusu wanaokwenda waafrika wamekosa akili huyu hata mombasa hajafika.Sasa hata kama uko USA kama kazi yako Kila siku unalisha mifugo unaweza kuwa na akili?
Wakati mwingine kazi unayofanya inafanya akili yako ibaki kama ilivyokuwa bila kujali uko wapi.
Ila bwana baboon anakuwa mwingi wa hasira na kupanic haraka tabia ambayo wazungu hawana.Sikiliza pata nafasi naona waarabu wa saudia kuhusu wanaokwenda waafrika wamekosa akili huyu hata mombasa hajafika.
Bila kuziangalia zote unaweza kuhisi labda ni maigizo/uongo.FATILIA HII MIMI MARA YA KWANZA NILIANZA KUKATAA ILA KUNA MTU ANAJIITA Nyani Ngabu WA usa YA MBAGARA SIJUI KAMA BANDO LA KUFATILIA LIPO.
HII NI KWELI wala sio uzushi na huyo mfatiliaji DCI Godfrey wa kenya nairob
Alimkosoa na kumcheka mayalla kisa kakosea kuandika kingereza na alifanya vile baada ya kuzidiwa hoja na pale ndipo nilipoona kuwa bwana mdogo ni mbishi 😂kilaza wa zoom za USA huko
Tunao wengi wakitoka ulaya wanakuja masharti ya form six na iphone wanaona maisha wametusuaAlimkosoa na kumcheka mayalla kisa kakosea kuandika kingereza na alifanya vile baada ya kuzidiwa hoja na pale ndipo nilipoona kuwa bwana mdogo ni mbishi 😂
You know, you know, zinakuwa nyingi. Yaani mtu asipotaja hayo maneno Katia mazungumzo ni kama anabanwa na pumzi .Tunao wengi wakitoka ulaya wanakuja masharti ya form six na iphone wanaona maisha wametusua
Wakati tupo chuo kuna watu walibishana na google kuwa idanganya wakati inatakiwa ku refar leo mkuu JF max anabishana AI kuwa inaharibu utafiti na habari.You know, you know, zinakuwa nyingi. Yaani mtu asipotaja hayo maneno Katia mazungumzo ni kama anabanwa na pumzi .
Itabidi tuwasamehe watu wa anina hii maana hawajui wafanyalo.Wakati tupo chuo kuna watu walibishana na google kuwa idanganya wakati inatakiwa ku refar leo mkuu JF max anabishana AI kuwa inaharibu utafiti na habari.
Hapo ndo nilibidi kuchekea tumboni