BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Unajutaje si unakua hupendwi tenaNi kweli kabisa ina process ndefu na ikifika expire date utajuta
Vile vile ndele si nzuri kwakuwa haichagui wala haibagui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajutaje si unakua hupendwi tenaNi kweli kabisa ina process ndefu na ikifika expire date utajuta
Vile vile ndele si nzuri kwakuwa haichagui wala haibagui
Niunge niisomeKuna mada tayari iko hewani
Mi nataka huo wa kupendwa na madem wa viwango wa ma celebrity wa marekani. Nafanyaje chief ?? Plz [emoji23][emoji23]Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana
2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu
Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi
Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.
Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings
Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake
Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
Ooooooph asante Bwana Yesu kwa kukuokoa. Nilikuwa nimeandaa maswali kibao nikuulize bahati nzuri post hii umeweka wazi kila kitu. Barikiwa kila iitwapo leo[emoji4]Naomba niwe mkweli katika hili egentle, uchawi nilifanya zamani hata kabla sijajiunga na JF, Baadae nikaona natesa watu bila sababu na faida sipati, siku moja nuru ikaniangazia nikatubu na kuokoka nikachukua zana zangu zote na kuzichoma mimi mwenyewe
Huu ni ukweli ambao nauweka wazi leo hapa jamvini, kwasasa sifanyi tena hiyo kazi na nimejitenga na chochote kinachohusiana na uchawi, nimekuwa mtu mwema na hata maisha yangu yamekuwa na amani
Kuna siku niliweka picha ya tunguli hapa JF photos! Zilikuwa zana zangu zile ila kwasasa mimi ni wa KRISTO
Aaaamen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji109]Ooooooph asante Bwana Yesu kwa kukuokoa. Nilikuwa nimeandaa maswali kibao nikuulize bahati nzuri post hii umeweka wazi kila kitu. Barikiwa kila iitwapo leo[emoji4]
***Uongo mwingine ni noma.
1. "Zongo" si uchawi "zongo" ni kijicho. Au jicho la hasadi, ambalo binaadam yeyote anaweza kuwa nalo na si lazima iwe uchawi. Hata kusifia kwa uzuri pia kunawea kuwa ni zongo. Mzazi anaweza kumdhuru kwa zongo hata mwanawe kwa kumpenda sana tu.
Waislam ndiyo maana tunafundishwa kusema "Bismillahi, Ma sha Allah" kila tunapokiona au kukisifia kitu kizuri na tunakatazwa kusifia kitu kwa kushangalia au kustuka "Doooh" au "Du", tunatakiwa tusema japo "Ma sha Allah".
2) Banyanyi, hilo ni kabila moja la Wahindi wa India "Baniani".
"Baniani mbaya kiatu chake dawa" hakuna uchawi hapo, Ni kudanganyana tu.
3. "Ndele" = hayo ni majivu yanayotokana na maiti za watu kuchomwa na hutumiwa kwa mabo ya kichawi lakini si uchawi wenyewe kuwa unaitwa "ndele".
Unaitwa unga wa ndele.
Ukiwa muongo ukumbuke kuna watu wanayajuwa mengi zaidi yako.
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana
2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu
Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi
Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.
Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings
Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake
Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana
2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu
Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi
Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.
Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings
Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake
Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
mshana huna mambo kweli
Hawa ndio waganga wa kweli, huwa nawashauri sana watu kuepuka kutanguliza pesa mbelejmn kina dada ndele ni uchawi kwa mwanaume apendwe na wasichana. ila mshana uko deep. hebu wagusie kuhusu kisimo.
binafsi naweza sema kuna waganga wanasaidia nikiwa darasa la nne niliwahi vunjika mkono tukiwa tunacheza mpira nikapelekwa kwa mzee mmoja. cha kwanza akachukua ukindu akausokota akanifunga mkononi baada ya dk 4 sikusikia maumivu then akachua kuku akamvunja bawa akamfunga vijiti nami akanifunga. huwezi amini yule mzee alikuwa akiangalia yule kuku kila baada ya siku tatu alipopona yule kuku akamfungua na akanifungua vijiti na kuniambia nimepona. wazazi walipomuuliza gharama akasema anahitaji tshs 1 na chupa moja ya maji ya muwa ilibidi baba aulize mara mbilimbili akamjibu akichukua zaidi ya hapo uganga utaharibika
Kwa zongo ni sawa lakini kwa mambo mengine hiyo ni level ya juu mno ya ushirikina