Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Kwanini masuala ya uchawi lazima yawe na mambo ya kutisha na yauchafu uchafu. Nini hekma yake mlamua Mshana jr
Kwakuwa yanahusika na mambo mabaya na ya giza! Ila si uchawi wote una uchafuuchafu
 
Mi nataka huo wa kupendwa na madem wa viwango wa ma celebrity wa marekani. Nafanyaje chief ?? Plz [emoji23][emoji23]
 
Mi nataka huo wa kupendwa na madem wa viwango wa ma celebrity wa marekani. Nafanyaje chief ?? Plz [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uchawi huo haupandi pipa
 
Ooooooph asante Bwana Yesu kwa kukuokoa. Nilikuwa nimeandaa maswali kibao nikuulize bahati nzuri post hii umeweka wazi kila kitu. Barikiwa kila iitwapo leo[emoji4]
 
Ooooooph asante Bwana Yesu kwa kukuokoa. Nilikuwa nimeandaa maswali kibao nikuulize bahati nzuri post hii umeweka wazi kila kitu. Barikiwa kila iitwapo leo[emoji4]
Aaaamen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji109]
 
***
---gwiji ameeleza hatua kwa hatua./
 
 
mshana uyu faiza a foxy
amekuzoea bona katika ule unzi wa mtu mzito huwa hambishi jibu ata moja.
 
jmn kina dada ndele ni uchawi kwa mwanaume apendwe na wasichana. ila mshana uko deep. hebu wagusie kuhusu kisimo.
binafsi naweza sema kuna waganga wanasaidia nikiwa darasa la nne niliwahi vunjika mkono tukiwa tunacheza mpira nikapelekwa kwa mzee mmoja. cha kwanza akachukua ukindu akausokota akanifunga mkononi baada ya dk 4 sikusikia maumivu then akachua kuku akamvunja bawa akamfunga vijiti nami akanifunga. huwezi amini yule mzee alikuwa akiangalia yule kuku kila baada ya siku tatu alipopona yule kuku akamfungua na akanifungua vijiti na kuniambia nimepona. wazazi walipomuuliza gharama akasema anahitaji tshs 1 na chupa moja ya maji ya muwa ilibidi baba aulize mara mbilimbili akamjibu akichukua zaidi ya hapo uganga utaharibika
 
Hawa ndio waganga wa kweli, huwa nawashauri sana watu kuepuka kutanguliza pesa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…