Uchawi kumbe unauzwa

Uchawi kumbe unauzwa

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Kweli tembea uyaone !

Siwezi kudanganya mimi The only ni mwana muungwana ,kwa macho yangu Nilienda hivi karibuni Mkoani Kigoma sasa kazi iliyonipeleka ikawa kuna wakongo nawasubiri niwaunge biashara ya cement wakaniambia niwasubiri kwa muda wa wiki wakanitumia dola 400 ya kula bata tu ,basi mimi sio mtu wa totoz nikaamua kuzunguka tu kujifunza mambo adimu ya mji wa kigoma ,Uzuri wa maumbo na sura ya watoto wa ujiji,Ukarimu na uaminifu wa waha ( anakutana na wewe kwenye basi anakuuliza unafika wapi anakupa begi atalipitia badae) na kede

Nisiwachoshe ,kwa macho yangu nilishuhudia ukifika kigoma nenda stendi ya mwandiga tafuta kijana mjanja mjanja mpige lunch kisha mwambie nilikuwa nataka ninunue uchawi hutaamini atakupeleka kuna nyumba unakutana na wachawi si chini ya 20 inategemea siku wanakuonesha uchawi na bei kuna hadi uchawi wa milion 100 nasikia mtoto wa mkuu aliyepita alikuja hapa akakata huo mzigo ,mimi nilionyeshwa chupa ya maji inauzwa laki sita ukiinywa hata unywe sumu gani duniani huwezi kufa kuna jamaangu ni mwanajeshi ndo alinipeleka huwa anaweza kutafuna chupa ya bia baa na naapa kwa uhai wa mama yangu nimemshuhudia mara mbili yuko hai hata leo .
Kuna uchawi wa wanawake kupendwa sana na wanaume ndani ya mwezi ni kachungu kadogo akikuandika jina tu kwenye kitambaa akabahatika kukupukuta manii huo mwezi utauza ghorofa na yeye hajiweki anajua ana mwezi tu ila tushukuru wangetumaliza kwani unauzwa milion 10 na akinunua anaweza kukitumia maisha ,ukiona mtu katembea na malaya halafu hachomiki hii imehusika,ukitaka uutest kwanza wanakubali.
Anaetaka akajiendee mwenyewe sitaki inbox mimi i Just want to share my experience
 
Achana na ishu za uchawi ndugu yangu hata shetani mwenyewe haupendi.
 
hehehe wajinga sana huo uchawi wao wangejiletea hata maendeleo ya kimiujiza
 
Yaani unanunua imani yako kwa TZS 10M, uchawi ni kuamini. Ila mimi napendaga sana ule uchawi wa kuambiwa
1. Amka asubuhi na wahi kazi
2. Usinywe pombe
3. Usilale na mwanamke zaidi ya mke wko
4. Nunua nguo 6 tu kwa mwaka
5. .......
 
Naona Shetani ameamua aje huku kujinadi, acha habari hizi zimepitwa na wakati
 
Nielekeze mkuu kuna mpuuzi Fulani kanizulumu nikamtoe kafara
 
Yaani unanunua imani yako kwa TZS 10M, uchawi ni kuamini. Ila mimi napendaga sana ule uchawi wa kuambiwa
1. Amka asubuhi na wahi kazi
2. Usinywe pombe
3. Usilale na mwanamke zaidi ya mke wko
4. Nunua nguo 6 tu kwa mwaka
5. .......
[emoji23][emoji23][emoji23] hii trick si mchezo. Inakufanya usitapanye pesa zako kijinga, hapo lazima umeki pesa za kutosha na utajirike tu hakuna namna
 
Kweli tembea uyaone !

Siwezi kudanganya mimi The only ni mwana muungwana ,kwa macho yangu Nilienda hivi karibuni Mkoani Kigoma sasa kazi iliyonipeleka ikawa kuna wakongo nawasubiri niwaunge biashara ya cement wakaniambia niwasubiri kwa muda wa wiki wakanitumia dola 400 ya kula bata tu ,basi mimi sio mtu wa totoz nikaamua kuzunguka tu kujifunza mambo adimu ya mji wa kigoma ,Uzuri wa maumbo na sura ya watoto wa ujiji,Ukarimu na uaminifu wa waha ( anakutana na wewe kwenye basi anakuuliza unafika wapi anakupa begi atalipitia badae) na kede

Nisiwachoshe ,kwa macho yangu nilishuhudia ukifika kigoma nenda stendi ya mwandiga tafuta kijana mjanja mjanja mpige lunch kisha mwambie nilikuwa nataka ninunue uchawi hutaamini atakupeleka kuna nyumba unakutana na wachawi si chini ya 20 inategemea siku wanakuonesha uchawi na bei kuna hadi uchawi wa milion 100 nasikia mtoto wa mkuu aliyepita alikuja hapa akakata huo mzigo ,mimi nilionyeshwa chupa ya maji inauzwa laki sita ukiinywa hata unywe sumu gani duniani huwezi kufa kuna jamaangu ni mwanajeshi ndo alinipeleka huwa anaweza kutafuna chupa ya bia baa na naapa kwa uhai wa mama yangu nimemshuhudia mara mbili yuko hai hata leo .
Kuna uchawi wa wanawake kupendwa sana na wanaume ndani ya mwezi ni kachungu kadogo akikuandika jina tu kwenye kitambaa akabahatika kukupukuta manii huo mwezi utauza ghorofa na yeye hajiweki anajua ana mwezi tu ila tushukuru wangetumaliza kwani unauzwa milion 10 na akinunua anaweza kukitumia maisha ,ukiona mtu katembea na malaya halafu hachomiki hii imehusika,ukitaka uutest kwanza wanakubali.
Anaetaka akajiendee mwenyewe sitaki inbox mimi i Just want to share my experience
Hiyo mizigo tuliyokuwa nayo inatosha, bado mtu unajiongezea mizigo kedekede...kesho kwa mungu utasema nini? Kwani ukienda kanisani au msikitini kusali utaaribikiwa nini mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii trick si mchezo. Inakufanya usitapanye pesa zako kijinga, hapo lazima umeki pesa za kutosha na utajirike tu hakuna namna
Hata kama siyo kutajirika, maisha yako yatakuwa kwenye mstari!
 
Hiyo ya kutafuna chupa ya bia ni mazingaombwe tu yasikutishe
 
Kuna dawa ya kichawi, ukinywa hata upewe nyongo ya mamba unapeta tu
Wazungu wamewaharibu sana waafri, kila kitu cha mwafrika ni uchawi, huo sio uchawi Bali ni kinga kama ambavyo wewe utatiwa chanjo ya kinga ya surua, badilika mkuu
 
Back
Top Bottom