The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kweli tembea uyaone !
Siwezi kudanganya mimi The only ni mwana muungwana ,kwa macho yangu Nilienda hivi karibuni Mkoani Kigoma sasa kazi iliyonipeleka ikawa kuna wakongo nawasubiri niwaunge biashara ya cement wakaniambia niwasubiri kwa muda wa wiki wakanitumia dola 400 ya kula bata tu ,basi mimi sio mtu wa totoz nikaamua kuzunguka tu kujifunza mambo adimu ya mji wa kigoma ,Uzuri wa maumbo na sura ya watoto wa ujiji,Ukarimu na uaminifu wa waha ( anakutana na wewe kwenye basi anakuuliza unafika wapi anakupa begi atalipitia badae) na kede
Nisiwachoshe ,kwa macho yangu nilishuhudia ukifika kigoma nenda stendi ya mwandiga tafuta kijana mjanja mjanja mpige lunch kisha mwambie nilikuwa nataka ninunue uchawi hutaamini atakupeleka kuna nyumba unakutana na wachawi si chini ya 20 inategemea siku wanakuonesha uchawi na bei kuna hadi uchawi wa milion 100 nasikia mtoto wa mkuu aliyepita alikuja hapa akakata huo mzigo ,mimi nilionyeshwa chupa ya maji inauzwa laki sita ukiinywa hata unywe sumu gani duniani huwezi kufa kuna jamaangu ni mwanajeshi ndo alinipeleka huwa anaweza kutafuna chupa ya bia baa na naapa kwa uhai wa mama yangu nimemshuhudia mara mbili yuko hai hata leo .
Kuna uchawi wa wanawake kupendwa sana na wanaume ndani ya mwezi ni kachungu kadogo akikuandika jina tu kwenye kitambaa akabahatika kukupukuta manii huo mwezi utauza ghorofa na yeye hajiweki anajua ana mwezi tu ila tushukuru wangetumaliza kwani unauzwa milion 10 na akinunua anaweza kukitumia maisha ,ukiona mtu katembea na malaya halafu hachomiki hii imehusika,ukitaka uutest kwanza wanakubali.
Anaetaka akajiendee mwenyewe sitaki inbox mimi i Just want to share my experience