Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.

Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana, mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc
Screenshot_20190317-105151.jpeg
images%20(3).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaazi zikikosa maua husingizia jua

Kuruka korongo ni kuagana na nyonga

Nahakika kichwa cha nyoka hakiwezi beba mtungi

Hizi ni salamu mjomba ukimkuta zahera msalimiee sana maana usoilamba si chungu mwambie salamu za kule ni kamwene umenogaje mnofu yanga kakaangwa kageuzwa mnofu

Msalimie akili ni mali hakika dua twamuombea apoooneee

Mjomba iyombeayo michango ni misiba yanga ina msiba?
 
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc View attachment 1047447View attachment 1047448

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi kwa lipuli nini kilowaliza au humkwenda na hizo dust masks?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo picha ya pili imenichekesha sana Mkuu!

Inabidi ukubali tu hakuna cha dawa wala ndumba Simba waliwazidi kimchezo,kama kocha wao anakiri kabisa wamezidiwa, wewe ni nani upinge?
Huyo kocha nae hajui tunaomia ni sisi...


Hzo masks namba mbili ndio ulitakiwa waje nazo na mitungi ya oxygen wangeweza kupambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga walicheza mpira mkubwa sana huwezi fananisha na hao mliowawekea sumu jana...

Ile game ya yanga tuliridhika kabisa ni matokeo ya kimpira

Ila jana hapana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Yanga hujaridhika ila kocha wa vita kasema wameridhika na anaitakia simba kila la heri. Ni kituko anapigwa vita wanaumia zaidi Yanga.
Kama hujaridhika chukua matokeo haya hapa chini.
20190317_110044.png
 
Nonsense!

Lisemwalo lipo Ndugu yangu...but it does not matter...tuwapongeze Simba kwa ushindi....Ila nina hofu na mechi zijazo...picha hizi za wachezaji wa Vita zikitumwa huko CAF na FIFA ni lazima wataleta wataalamu kuchunguza...na hiyo ikitokea ina madhara kwa soka yetu...
 
Ukiangalia mechi za Simba S.C za hivi karibuni utagundua kuwa fitness yao imeimprove sana na ndiyo maana wanapata matokeo second half kuanzia Al Ahly, Yanga na AS Vita.

Fitness coach anafanya kazi yake na inaonekana.
Hii imepelekea timu pinzani kuogopa kuingia changing room kuhofia dawa za kulegeza mwili.

Nafikiri baadaye watadai Simba wapimwe dawa za kuongeza nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom