squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Fifa wanazo hadi video za ZBC2 wachezaji wa simba walimulikwa machono.Lisemwalo lipo Ndugu yangu...but it does not matter...tuwapongeze Simba kwa ushindi....Ila nina hofu na mechi zijazo...picha hizi za wachezaji wa Vita zikitumwa huko CAF na FIFA ni lazima wataleta wataalamu kuchunguza...na hiyo ikitokea ina madhara kwa soka yetu...