Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...
As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..
Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....
Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.
Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc
View attachment 1047447View attachment 1047448
Sent using
Jamii Forums mobile app