Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Haka naona nikauzi kakujipozea machungu kwa wana yanga wote
 
Vyura FC naona wanateseka Sana Mpira unachezwa kweupe wote tumeona vita walifungwa kutokana na ujinga wao wamekosa goli ET wanalala chini manula akaanzisha Mpira faster
 
Sijakuelewa au pengine hujanielewa ...nasema hivi picha za wachezajiwa Vita wakiwa na 'masks' wakati wa halftime zikitumwa huko CAF na FIFA suala hili linaweza likachukua sura nyingine...
Unadhani CAF ni wapumbavu na wana upungufu wa mawazo kama wewe?
 
Kamati ya ushindi imefanikiwa sana... mwambie zahera akate rufaa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Lisemwalo lipo Ndugu yangu...but it does not matter...tuwapongeze Simba kwa ushindi....Ila nina hofu na mechi zijazo...picha hizi za wachezaji wa Vita zikitumwa huko CAF na FIFA ni lazima wataleta wataalamu kuchunguza...na hiyo ikitokea ina madhara kwa soka yetu...
na nivizuri zifike ili Vita wathibitishe na pindi ikisibitita sivyo wapate walichotarajia. mambo ni rahisi sana ni uchunguzi then matokeo haradhari
 
Ukiangalia mechi za Simba S.C za hivi karibuni utagundua kuwa fitness yao imeimprove sana na ndiyo maana wanapata matokeo second half kuanzia Al Ahly, Yanga na AS Vita.

Fitness coach anafanya kazi yake na inaonekana.
Hii imepelekea timu pinzani kuogopa kuingia changing room kuhofia dawa za kulegeza mwili.

Nafikiri baadaye watadai Simba wapimwe dawa za kuongeza nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
na mkuu hakuna kitu kizuri ka kuwaogopesha wapinzani ki saikolojia maana wanatoka mchezoni. na pindi watokapo ndo muda mzuri wa kupata ushindi, mpira ni mbinu na ndo maana kunapropaganda pia ni katika kutafuta ushindi,
 
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc View attachment 1047447View attachment 1047448

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushirikina wa mitandaoni...ulifungwa na Lipuli na Kipigo kikakamilikia kwa mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mwingine mkubwa kabisa ni huu hapa. Unajua tatizo la hii nchi wajuaji ni wengi sana. Mechi aliyocheza Simba kule Dr Congo mpka mpira unaisha na Simba kufungwa goli tano lkn Simba ndo aliongoza Kwa umiliki wa mpira Kwa 54%.

Ni makosa ya walinzi wa Simba ndo yaliigharimu timu,ni makosa ambayo mwalimu aliyaona na ndo maana mifumo ktk michezo ya nyumbani inakuwa tofauti.

Simba ina wachezaji wazuri sana lazima watanzania hata km ww ni Ndala fc,mjifunze kukubali ukweli. Kikosi cha Simba kimekamilika na kina uwezo wa kufunga timu yoyote km kila mchezaji ataweza kutimiza majukumu yake Kwa 100%.

Hapo kwa mchina ni machinjioni. Halafu as vita hawana akili..wanamtumia mwinyi zahera kuiangamiza Simba wakati yy alifungwa na Simba! Yaani huyo zahera Jana sijui km alilala,maana Ndalla fc kule iringa walikojolewa,na as vita huku wakanyolewa na Mnyama.

Halafu triple c aliwafunga goli la dhahabu,hilo goli km mtu angepata nafasi ya kumkagua yule kocha wa as vita,lazima alijikojolea! Usicheze na Simba bhaana. Kumbuka haya maneno ya Haji manara.View attachment Instagram post by Sharif Rizik_BvFSL1Klg_X(MP4).mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Soura na Ahly nao waliwekewa uchawi? Mambo ya soka na uchawi wapi na wapi? Aliyejiandaa vizuri na anayejiamini ndiye anayeshinda. Hivi Man U nao waliwatoa PSG kwa uchawi?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc View attachment 1047447View attachment 1047448

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unawetetea Vita kuliko unavyowatetea Yanga. Hivi Yanga nao wamefungwa na Lipuli kwa uchawi?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe kweli kama kweli umeangalia mpira huwezi kuamini huwo upuuzi. wewe unaona kabisa sub zimefanyika na zimabadili mchezo then unaleta porojo
mkuu kitu nilichogundua baadhi ya watu wanapiga kelele ila hawaelewi falsafa za kocha, ha yawezekana zile sub hakuona zilikuwa na impact gani.ila mtu angelijua asingelisema yote haya, watu mbele waliingizwa watu ambao walifanya kazi kwa upande wa vita kuwa ngumu maana ni watu ambao wanakasi saa zote mtu ka Rashidi. Dillunga. Niyonzima, sasa unategemea nini kama watu wanamiliki mpira tena mashambulizi yanaongezeka kasi zaidi ya awali?
kiufupi mkufunzi alijua muda umekwenda na ile sare isingemsaidia ndo maana akafanya kuongeza viungo washambuliaji ambao waliongeza kasi ya mchezo na kukavuruga mipango yote ya vita na wakashindwa kwenda na ile kasi wakawa wanajitahidi tuu japo kupata sare, na akili zikawa zimeanza kuridhika na sare kitu ambacho hakitakiwi sikuzote unapigana kushambulia ili kupunguza kasi ya kushambuliwa, ila ukipunguza ushambulizi inamaanisha unakaribisha moto nyumbani.
Yotekwa yote Zahera aliwaondoa mchezoni baadaya ya kuwapa fufunu za hujuma kitu ambacho si kweli na kulitusaidia sana kitendo cha kukaa pale nje kuliwapoteza sana. na wakati mwingine wajifunze.
 
Mpuuzi kweli.

Jana bahati nzuri niliingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kulikuwa na hewa nzuri tu ila vyooni kulipuliziw zile dawa ya kusafisha vyoo.

Sasa sijui kama walivyoingia na kusikia harufu ile wakajua wamepuliziwa dawa basi ni wahuni na hawajui lolote.

Aliyewaambia kubeba mask ni mjinga kuliko waliovaa.
walishaharibiwa na mtu ambaye aliwapa habari mpaka za mask ila mbona walikaa nje na hawajashinda? au walivuta sumu kidogo nini? Zaheri alikuwa kwenye kamati ya vita nini? ha ahaaaaa😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom