Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
Wangetoka sare bado Vita wangetolewa kwani wangelingana pointi na Soura, pointi 8, hivyo kanuni ya head to head ingetumika, kumbuka walitoka sare pale Kinshansa na Vita walifungwa kule Soura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama una akili za kuvukia barabara kamwe huezi kuendelea ....simba wamecheza mpira mzur toka mwanzo wa kipind mpk mwsho hafu unaleta mipasho ww khadija kopa ndio mana kila sku mnahangaika ya simba sc wakati timu yenu inafungwa iringa kamwene hafu kocha wenu nae anaacha timu anayofundisha anadanga kwa as vita ila huyu kocha wenu bibi zuhura hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc View attachment 1047447View attachment 1047448

Sent using Jamii Forums mobile app
Sumu iliyowadhoofisha As Vita ni Zahera tu, hakuna kingine hizo ni porojo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unajifanya kuonyesha simba ni wazee wa fitna ee?
sikatai ila umewahi jiuliza simba alipoenda congo hakufanyiwa figisu?
nenda kaitafute mechi ya nusu fainali ya tp mazembe vs orlando pirates pale drc ndio utaujua vizuri mpira wa afrika.
unawatetea wakongo kisa zahera kawafanya mlipuke?
kwa sasa simba utaumia sana kuisubiria simba ifanye vibaya wakati wamewekeza,nyinyi mlipata fursa mkaichezea.

nenda katembeze bakuli pale jangwani mzee.......
 
duh wazee wa fitina ni yanga bwana walijazwa sumu wakaanza mpira kwa kuutoa nje

angalia nkana na ubora wake kafa taifa sasa anatesa
 
Lisemwalo lipo Ndugu yangu...but it does not matter...tuwapongeze Simba kwa ushindi....Ila nina hofu na mechi zijazo...picha hizi za wachezaji wa Vita zikitumwa huko CAF na FIFA ni lazima wataleta wataalamu kuchunguza...na hiyo ikitokea ina madhara kwa soka yetu...
Akili za chura sijui zina IQ ya aje? Nenda kalambe limao kama ushindi wa Simba umekuletea kichefuchefu.
 
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na miili yao kuchoka sana hio inatokona na dawa zile za kupuliza ambazo huwa zinafanya kazi taratibu na kadri misuli inavyopata moto ndio mwili unalegea...

As vita walijihadhari lakini kishamba sana wao walitumia "dust masks" ambazo kiuhalisia haziwezi kuzuia gas ya sumu..

Hizo picha hapo moja ni dust masks walizovaa wachezaji wa vita wakiwa vyumbani....

Picha ya pili ndio mask ulizotakiwa wavae kwa kipindi chote wakiwa vyumban ikiwezekana na mitungi ya oxygen mgongoni. As vita mjifunze mkiwa mnakuja kucheza na watu wa figisufigusi mjipange kweli kweli sio kufanya mambo ya ajabu kama jana,mmeruhusu sumu iwaingie wachezaji na ikawapoteza kabisa.

Jambo lingine ni uchawi hili nitalizungumzia siku nyingine hadi na kwa mzee walionda hawa viongozi wa mikia fc View attachment 1047447View attachment 1047448

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uchawi kwenye mpira upo?
 
Back
Top Bottom