Haya yote ni kwa mujibu wa sheria gani?Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi dhidi ya mtu mwingine ni kosa.
Aliyefanya hivyo anatenda kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo gerezani inachoweza kufika miaka saba na kuendelea.
Aisee maisha hayaNimesoma sehemu muda sio mrefu, kuna mtu kafungwa huko Kusini (Hukumu imetoka Mahakamani)
Kwa kumgeuza mtoto wa Dada yake kuwa Taahira...!
Nikashangaa
Sasa inakuwaje wanaposema uchawi hauaminiki serikali wanamaanisha nini?Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi dhidi ya mtu mwingine ni kosa.
Aliyefanya hivyo anatenda kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo gerezani inachoweza kufika miaka saba na kuendelea.
Mkuu labda ungetaja na kifunguuu ingepunguz sito fahamuKwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi dhidi ya mtu mwingine ni kosa.
Aliyefanya hivyo anatenda kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo gerezani inachoweza kufika miaka saba na kuendelea.