Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Nakumbuka jana ulivyonichekeshaaa kweli kuhusu ile story ya kujifunika shuka jeupe alafu unaweka na mti unakuwa kama ngongoti nilicheka sana mme wangu

Alafu hii nayo kumbe hukunihadithia maana mbavu zingekauka kabisaaaa kwa kucheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.

Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.

Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio

Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo

Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .
bila shaka ni gambian boys hyo pa1 sana mkuu
 
Mkuu Mshana Jr kama huo ulozi uliufanya kukabiliana na hao wababe wa Sekondari,vipi kwa sie ambao tunajipanga kukuibia Mrembo wako Demiss,si utatupoteza kabisa kwenye uso wa Dunia???
BTW hongera kwahiyo tricky,wengine tulitakiwa kutoa hela kila tulipokuwa tunakwenda Msalani,kweli shule kipindi kile ilikuwa utemi hasa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan mi sina la kuchangia. Sina hamu na wewe bro.
Nilipanga nikutafute tufahamiane sasa nimeghairi
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Wapi Behaviourist jamaa kamtumia chura vibaya huku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.

Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.

Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio

Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo

Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .
Kumbe haya mambo umeanza siku nyingi......
 
Wapi Behaviourist jamaa kamtumia chura vibaya huku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom