Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka jana ulivyonichekeshaaa kweli kuhusu ile story ya kujifunika shuka jeupe alafu unaweka na mti unakuwa kama ngongoti nilicheka sana mme wangu
Alafu hii nayo kumbe hukunihadithia maana mbavu zingekauka kabisaaaa kwa kucheka