Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

Mara utasikia karani kapotea. Hatutaangaika atapatikana kwa ashura.
 
Nimecheka balaa ebu pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote nitapitia kulipa baadaye na range yangu
Oooh utakuwa na range sio 😃 ukifika utakuta rivian ya blue ni mimi nitakuwa kwa ndan nakusubiri
 
Uchawi ni umasikini hivyo hauwezi kushusha hali ya umasikini

Kazi ya uchawi ni kurudisha nyuma maendeleo ya watu
Kwa hiyo hapo kilichofanyika ni uchawi? Yaani kufika na kutoiona nyumba ni uchawi? Hiyo ni teknolojia ya mtu mweusi......Biblia na Korani zimetulemaza kila lenye maajabu lifanywalo na mtu mweusi ni uchawi
Ujinga wahid!!
 
Uchawi ni umasikini hivyo hauwezi kushusha hali ya umasikini

Kazi ya uchawi ni kurudisha nyuma maendeleo ya watu
Ila ukisikia mtu katoa kafara kwa sababu ya kupata utajiri pia utauta uchawi ni umasikini?
 
Hatari sana wangemshusha mshipa yule kiongozi wa tozo lingekuwa jambo la kheri.
Wanaume tukafate huu ujuzi, tunatogoza demu ukimpeleka Tandale yeye anaona yupo Masaki na bajaji inaoneka V8, na Nyumba ya udongo anaiona ghorofa.
 
Wanaume tukafate huu ujuzi, tunatogoza demu ukimpeleka Tandale yeye anaona yupo Masaki na bajaji inaoneka V8, na Nyumba ya udongo anaiona ghorofa.
Kabisa mku[emoji12][emoji12][emoji12][emoji122][emoji122]
 
Huu uchawi ungetumika kushusha hali ya umaskini na kuwaongezea vipato ningewaona wana akili.
Achana na ushauri wa mkakati wa kuhangaika kushusha umaskini, mkakati mzuri ni kupandisha hali za maisha ya watu! Pandisha utajiri, achana na umaskini usihangaike nao, hangaika na utajiri!
 
Uchawi wa watz ni wa hovyo sasa karani ana shida gani wangetakiwa wapambane na system
 
Habari kama hizi ndio watu wanazipenda sasa.

Hapa tutakwenda mpaka page laki mbili.
 
Back
Top Bottom