Sasa ndugu songea ni mji au bado ni halmashauri?hahahaha
Achana nae bana huyo ni kikalagosi wake..... Songea to kigoma wapi na wapi wote wakuja yeye na uyo naseeb wake... Wamekuja town jana tuu.....
Maneno yako ya shombo ndio yanayokufanya uzomewe
Teh teh yaani sasa hv mtu hata akitoka kijijini we mpige picha tu uiweke huenda ikaja kukusaidia baadae.
Maneno yako ya shombo ndio yanayokufanya uzomewe
angezomewa kibaa hapa sijui tungejificha wapiii
nimetoka ig asa hv yaani hakunogi ujue
ni kibaaa tuuuuuu
wakitaka wamuandalia wao waende kumshangilia kazomewa kikwete sembuse daimond...!!!
We endelea kula miguu ya kuku hapo kwa mateja mwananyamala..
Babu Tale anasema kuna watu walikodiwa kumzomea Diamond! Najiuliza Alikiba anauwezo kiasi gani mpaka kukodi watu wote wale? Hii kauli ina chochea uhasama!
Nakwambia mamito yani siku aliyozomewa muuza vocha a.k.a wakala wa zamani wa voda. chakula kilishuka bila kusukumwa na maji..... Duh!!! Tangu link Dangote azomewe!!!!!!! Kashaharibu uyo... Kalamba garasa dume kalipita..
ACHA AKILI MGANDO UNADHANI ALIYE MASIKINI LEO ATAKUA HIVYO MILELE?
NA UKIONA MTU ANAJITAHIDI KUKU SEMA VIBAYA KWA KUSEMA MAPUNGUFU YAKO AU YA WAZAZI WAKO MIAKA MINGI ILIYO PITA ILI KUKUCHAFUA JUA AMESHA SHINDWA NDIYO ANAAGA NA HATAKI KUUKUBALI UKWELI.
Ndiyo kweli yenyewe

mafukara wa dar utawajua tu. wanatamani kupewa nisan murano kwenye birthday kama wema...
ACHA AKILI MGANDO UNADHANI ALIYE MASIKINI LEO ATAKUA HIVYO MILELE?
NA UKIONA MTU ANAJITAHIDI KUKU SEMA VIBAYA KWA KUSEMA MAPUNGUFU YAKO AU YA WAZAZI WAKO MIAKA MINGI ILIYO PITA ILI KUKUCHAFUA JUA AMESHA SHINDWA NDIYO ANAAGA NA HATAKI KUUKUBALI UKWELI.
Ndiyo kweli yenyewe
Kama wewe unavomtumikia diamond kwa kumfulia boxer ili akupe bodaboda..