Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Achana nae bana huyo ni kikalagosi wake..... Songea to kigoma wapi na wapi wote wakuja yeye na uyo naseeb wake... Wamekuja town jana tuu.....

Nyie wa mjini mna nini zaidi ya kubanana kwenye vidaladala na kushindia mihogo ya kukaanga.. Vijana wa dar acheni uvivu fanyeni kazi.. Mnamuonea wivu Diamond kwa sababu ya maendeleo yake
 
Hahahaaaaa,nimekupendaje Mnyaki DADA???uwiiiii umenipa raha sana karibu mwaya jeshi liongezeke kuna watu wanatuletea stress zao za kuzomewa hapa
 
Last edited by a moderator:
angezomewa kibaa hapa sijui tungejificha wapiii
nimetoka ig asa hv yaani hakunogi ujue
ni kibaaa tuuuuuu
wakitaka wamuandalia wao waende kumshangilia kazomewa kikwete sembuse daimond...!!!

Mimi pia nimetoka huko dia,ndomo kaweka picha ya magwanda yake huko watu wanatiririka kumsifia kiba tu
 
Hahahaaaaa,nimekupendaje Mnyaki DADA???uwiiiii umenipa raha sana karibu mwaya jeshi liongezeke kuna watu wanatuletea stress zao za kuzomewa hapa

Nakwambia mamito yani siku aliyozomewa muuza vocha a.k.a wakala wa zamani wa voda. chakula kilishuka bila kusukumwa na maji..... Duh!!! Tangu link Dangote azomewe!!!!!!! Kashaharibu uyo... Kalamba garasa dume kalipita..
 
Last edited by a moderator:
Muone yeeh!!! Wewe si ndo unakujaga town kuja kununua yebo yebo na vibajaji... Na kanga mtelezo ili ukakimbize uko kwenu ukajifanye sister du.... Na hiyo miongo tunakungishaga ukitoka nayo kwenu uko Leo unatutuc ww.... Angalia utakufa na njaa...
 
izo fitna tu hashuki kimziki ng'oo what is kiba kashafulia yule huu wakati sio wake.
 
Babu Tale anasema kuna watu walikodiwa kumzomea Diamond! Najiuliza Alikiba anauwezo kiasi gani mpaka kukodi watu wote wale? Hii kauli ina chochea uhasama!
 
Hii inadhihirisha Watz tulivyo na roho mbaya sana. Mtu au sijui kikundi au sijui taasisi wanakodi watu just wamzomee Diamond! Hawa watu waliofanya kitendo hichi hawana tofauti na kikundi cha al-shabab cha Somalia. Diamond, hasife moyo hata kidogo, wapenda maendeleo wako nyuma yako.
 
Ume andika interest yako cyo ya watu wote .
Kama humpendi wewe cyo sisi .
Anaitangaza nchi yetu Nje ya nchi wewe unakuja na chuki zako ipandikize kwa watu kila siku kijana anachukua tunzo.
Mlisha wahi iba tunzo then mkazika makaburini ili ashuke ndiyo mganga wenu alivyo waambia lakini diamond ana zidi kufanya vizuli.
KWELI PENYE LIZIKI HAPAKOSI CHUKI KWA WANAOSHINDWA.
Keep it up DIAMOND we are back.
 
Nakwambia mamito yani siku aliyozomewa muuza vocha a.k.a wakala wa zamani wa voda. chakula kilishuka bila kusukumwa na maji..... Duh!!! Tangu link Dangote azomewe!!!!!!! Kashaharibu uyo... Kalamba garasa dume kalipita..

ACHA AKILI MGANDO UNADHANI ALIYE MASIKINI LEO ATAKUA HIVYO MILELE?
NA UKIONA MTU ANAJITAHIDI KUKU SEMA VIBAYA KWA KUSEMA MAPUNGUFU YAKO AU YA WAZAZI WAKO MIAKA MINGI ILIYO PITA ILI KUKUCHAFUA JUA AMESHA SHINDWA NDIYO ANAAGA NA HATAKI KUUKUBALI UKWELI.
Ndiyo kweli yenyewe
 
Angalia mbele wewe
 
mafukara wa dar utawajua tu. wanatamani kupewa nisan murano kwenye birthday kama wema...
 
ACHA AKILI MGANDO UNADHANI ALIYE MASIKINI LEO ATAKUA HIVYO MILELE?
NA UKIONA MTU ANAJITAHIDI KUKU SEMA VIBAYA KWA KUSEMA MAPUNGUFU YAKO AU YA WAZAZI WAKO MIAKA MINGI ILIYO PITA ILI KUKUCHAFUA JUA AMESHA SHINDWA NDIYO ANAAGA NA HATAKI KUUKUBALI UKWELI.
Ndiyo kweli yenyewe

Wivu tu unawasumbua..wakimuona wema anavyopewa zawadi ya nisan murano wakati wao wanahongwa chips kavu wanachanganyikiwa kabisa
 
Back
Top Bottom