Uchawi upo duniani na una nguvu kubwa,lakini aliyeumba vyote chini ya jua ndiye mwenye nguvu zaidi

Uchawi upo duniani na una nguvu kubwa,lakini aliyeumba vyote chini ya jua ndiye mwenye nguvu zaidi

Sijsoma ngonjera yako ila hakuna uchawi/ushirikina/wanga zote ni story za kusadikika na zinaaminiwa sana wa wajinga.

NB: Ujinga sio tusi.
Ha ha ha haa haaaaa hujaisoma ngonjera lakini umeitolea majibu ngonjera. Yap,hata mteuliwa aliwajibu makutano kwa kusema "imani yako ndiyo itakayo kuponya"
NB;yah naunga mkono,ujinga sio tusi.
 
Wanaofanya uchawi wanakuchek wanakushangaa.
Wachawi hawaonekani lakini kuna WAGANGA tunaishi nao mitaani tunawaona kila siku. Wachawi na WAGANGA baba yao ni mmoja
Yap ni kweli,na wanapeana madili haswaa(Rushwa)
 
Daa hayavmambo sijui nini yani
Kuna baadhi ya mambo yanatokea unatafuta conection na sababu za kisayansi/kimazingira hupati jibu.kama jibu halipatikani huko basi yabidi tuseme ni uchawi!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
Ndio,kuna muda unajaribu kuunganisha mambo na mapito lakini kupata thamani ya X na Yinakuwa ni shughuli pevu hapo sasa ndio kichwa hufunguka zaidi.
 
Back
Top Bottom