OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Hellow wakuu,
Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .
Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.
Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact
Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio maana ni ngumu kuelezeq mechanism yake hatua kwa hatua, ila procedure zake zinafahamika unaweza fanya usione jinsi unavyokwenda ila ukaona matokeo
Ukimuambia mdau wa penta life cycle akuonyeshe picha ya gravitation force atakushangaa kwasababu hakuna picha, ila ukimuambia uchawi upo atakuona umepotea njia bila kuhoji kiundani
Kiuhalisia uchawi ni force kama force zingine, huwezi kuiona force ila utaona effects.
Ni sawa na ncha mbili za sumaku zisizofanana ukizisogeza karibu zitakwepana ila huwezi kuiona hiyo repulsive force utaona na kuhisi effect ya hiyo magnetic force.
The same applies to wanaotumia dark force kufanikisha mambo yao, kama kwenye kazi zake ataona effects (impacts) ila siyo mchakato na mechanism behind inavyofanya kazi
Mtu anapojifunza uchawi hujifunza laws na principles zake kama ilivyophysics, mfano law of magnetism like poles attract each other, unlike poles repel each other
Laws na principles za uchawi ziko hivyo hivyo, mtu anayejifunza dark forces hufundishwa laws na principles kama abavyofundishwa physics
Wasomi wengi hawataki kufanya tafiti katika hii field ya dark forces kwa sababu wapo kwenye penta life cycle
Atakayesema uchawi haupo atuletee picha ya gravitation force please