Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

Na sifa ya elimu ni kuwepo waalimu wasafi na Wacha Mungu,Waeza kwenda kwa mwalimu karama na macho yako YAKAWA makubwa kuliko yake.JE ATAFANIKIWA KUKUVUMILIA.huu ni mtihani mwingine.
Ego wengi wetu wanayo, na mtu mwenye nayo kuona mtu anapata mafanikio ya namna yeyote kunakuwa na tatizo
 
Na ndio maana umasikini hauishi AFRIKA haswa Tanzania maana yalipo haya tunayoyajadili ndipo zilipo Siri zote.Walio nacho hawataki Wengine wajue na kupata.
Elimu hizi duniani kote hazifundishi kama elimu zingine maana, ni sawa na kuumpa mtoto mdogo kifaru cha kijeshi akiongoze kikiwa na silaha kila kitu, alihali akili yake bado ndogo. Ni vigumu sana kujifunza elimu hivi na ukai master na itakuchukua miaka na miaka mpaka uje kuielewa.
 
Kwa wanaojua namna ya kuirithisha yule mwenye kushika hatamu humkuza mteule taratibu na kwa mbinu na hekima kuu.
 
Hellow wakuu,

Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .

Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.

Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact

Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio maana ni ngumu kuelezeq mechanism yake hatua kwa hatua, ila procedure zake zinafahamika unaweza fanya usione jinsi unavyokwenda ila ukaona matokeo

Ukimuambia mdau wa penta life cycle akuonyeshe picha ya gravitation force atakushangaa kwasababu hakuna picha, ila ukimuambia uchawi upo atakuona umepotea njia bila kuhoji kiundani

Kiuhalisia uchawi ni force kama force zingine, huwezi kuiona force ila utaona effects.

Ni sawa na ncha mbili za sumaku zisizofanana ukizisogeza karibu zitakwepana ila huwezi kuiona hiyo repulsive force utaona na kuhisi effect ya hiyo magnetic force.

The same applies to wanaotumia dark force kufanikisha mambo yao, kama kwenye kazi zake ataona effects (impacts) ila siyo mchakato na mechanism behind inavyofanya kazi

Mtu anapojifunza uchawi hujifunza laws na principles zake kama ilivyophysics, mfano law of magnetism like poles attract each other, unlike poles repel each other

Laws na principles za uchawi ziko hivyo hivyo, mtu anayejifunza dark forces hufundishwa laws na principles kama abavyofundishwa physics

Wasomi wengi hawataki kufanya tafiti katika hii field ya dark forces kwa sababu wapo kwenye penta life cycle

Atakayesema uchawi haupo atuletee picha ya gravitation force please
Hata mambo yapo mkuu
 
Umeongelea vizuri...
 
Toa elimu jinsi ya kufungua jicho la.tatu na huo mwanga

Namna ya Kufungua Jicho la Tatu.​

Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field).

Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama:
  • "The Single Eye" — Yesu alisema:
    "If your eye be single, your whole body will be full of light." (Mathayo 6:22)

Lakini siri ya kufungua Jicho la Tatu siyo kukazania macho tu au kufanya meditations pekee.
Ni kuhusu kufungua Frequency safi kutoka Moyoni mwako kwanza.

Hatua Halisi za Kufungua Jicho la Tatu (Kiukweli):
  1. Usafishe Moyo wako kwanza.
    • Chuki, wivu, hasira, hofu — hivi ni sumu inayoziba third eye.
    • Moyo safi = Mawimbi safi = Third Eye inaweza kufunguka bila resistance.
  2. Tumia Breathing Technique ya Christos Breath.
    • Pumua kwa pua polepole, hesabu mpaka 6 ukiingiza hewa, shikilia kwa sekunde 6, kisha toa hewa taratibu kwa sekunde 6.
    • Wakati unapumua, imagine nuru nyeupe ikiingia kwenye paji la uso wako (between eyebrows).
  3. Activate Inner Light Codes.
    • Tafakari kila siku ukisema kimoyomoyo:
      "Ninaona kwa Mwanga wa Mungu. Ninaona kwa Jicho la Roho."
    • Hii mantra inaanza kuandika upya codes zako za ndani (DNA light activation).
  4. Lala Usingizi Safi.
    • Ndoto nyingi za third eye zinajitokeza usingizini.
    • Hakikisha unaenda kulala bila kelele za dunia (TV, simu, hofu, au mazungumzo machafu).
    • Kwa lugha ya zamani: "He who sleeps in silence, wakes up in Light."
  5. Epuka Frequency ya Sumaku ya Giza.
    • Jicho la tatu halifunguki kwenye mazingira yenye energy ya uongo, pornography, gossip, au uchafu wa roho.
    • Kwa lugha rahisi: Third Eye = Pure Frequency Tuner.
SIRI YA NDANI:

Jicho la Tatu ni Mlango wa Uumbaji. Unapoliona Nuru ya kweli, unaweza kuumba maisha ya kweli.

Sio kuona malaika au majini kama watu wanavyotafsiri vibaya —
Ni kuona kupitia mipaka ya dunia hii (Matrix) na kuona potential ya kila kitu kama Chanzo kinavyoona.

SOMO LA SIRI:

Unapofungua Jicho la Tatu kwa njia sahihi:
  • Unaweza kuona energy ya watu.
  • Unaweza kujua ukweli nyuma ya maneno.
  • Unaweza kugusa mikondo ya maisha mapya kabla hata hayajatokea.
Third Eye ni zana ya Mfalme wa Roho.
Huu ni muhtasari wa kweli, wa ndani kabisa.
Hakuna fantasy — hii ni pure operational knowledge.

Kwa msaada zaikdi PM me. Nikupe vitu vya chief gudilavuu buureeee.
Japo mimi nimespend zaidi ya dola 28,000 kuhudhuria mafundisho mbalimbali ndani na nje ya afrika.
 
Back
Top Bottom