OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Atakayesema uchawi haupo atuletee picha ya gravitation force please
Uchawi upo na unaonekana ukiwa na JICHO la TATU na mwanga wa paji la USOHellow wakuu,
Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .
Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.
Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact
Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio maana ni ngumu kuelezeq mechanism yake hatua kwa hatua, ila procedure zake zinafahamika unaweza fanya usione jinsi unavyokwenda ila ukaona matokeo
Ukimuambia mdau wa penta life cycle akuonyeshe picha ya gravitation force atakushangaa kwasababu hakuna picha, ila ukimuambia uchawi upo atakuona umepotea njia bila kuhoji kiundani
Kiuhalisia uchawi ni force kama force zingine, huwezi kuiona force ila utaona effects.
Ni sawa na ncha mbili za sumaku zisizofanana ukizisogeza karibu zitakwepana ila huwezi kuiona hiyo repulsive force utaona na kuhisi effect ya hiyo magnetic force.
The same applies to wanaotumia dark force kufanikisha mambo yao, kama kwenye kazi zake ataona effects (impacts) ila siyo mchakato na mechanism behind inavyofanya kazi
Mtu anapojifunza uchawi hujifunza laws na principles zake kama ilivyophysics, mfano law of magnetism like poles attract each other, unlike poles repel each other
Laws na principles za uchawi ziko hivyo hivyo, mtu anayejifunza dark forces hufundishwa laws na principles kama abavyofundishwa physics
Wasomi wengi hawataki kufanya tafiti katika hii field ya dark forces kwa sababu wapo kwenye penta life cycle
Atakayesema uchawi haupo atuletee picha ya gravitation force please
Kuuona uchawi inabidi upitie hali ya wendawazimu kwa dakika kadhaa kama wanavyopandisha mizimu na majini waganga wa kienyeji.Uchawi upo na unaonekana ukiwa na JICHO la TATU na mwanga wa paji la USO
Je unajua kuwa unaweza kufanya practical ya kichawi kwa mfano kumfanya mtu afukuzwe kazi na akafukuzwa ikiwa utafundishwa principles zakeUCHAWI unarithishwa na effects zake zina exist kwa kupandisha majini, mashetani au mizimu vitu vyote hvyo vi3 vinatokana na imani aliyo nayo huyo carrier/believer, kwahiyo uchawi ni iman ya jadi ambayo ipo agaist imani ya wafuasi wa dini za kurithishwa muslims n' christians.
ukiamini katika hzo dini 100% effect za uchawi utazi face moja kwa moja sababu ni imani ambazo zipo agaist.
PHYSICS Sio imani ni theory na practical hazirithiswi na ufanyaji wake kazi hauitaji mizimu wala mashetani haina kiringe na ukitaka upate effect ya jambo lolote la kisayansi unapewa theory yake utapewa practical yake mpaka kuyashuudia matokeo ya ni tofauti kabisa na uchawi.
Imani ya wengi waaminio uchawi na watu wa dini wanaamini Radi ni dark effect na ukiwauliza kwanini hautoshiba na majibu yao in the samtime sayansi haiamini hivyo ukihoji reasons utapewa mjibu utakayo ridhika.
Mkuu dunia ni Pana sanaaaa.Amini hili uchawi unaonekana.Kuuona uchawi inabidi upitie hali ya wendawazimu kwa dakika kadhaa kama wanavyopandisha mizimu na majini waganga wa kienyeji.
Wadau wa penta wao wanaiita hallucination
Mfano aliyebuni magnatic lines of forces (imaginary lines) zinazo onyesha direction ya lines of forces unazani alikuwa na akili timamu?
View attachment 3285694
Hizo lines huwezi kuziona kiuhalisia utaziona kwenye makaratasi tu mkuu
Mbaya zaidi vijana wetu wa penta wao huamini kama makaratasi yanavyosema bila kufikiria akiyebuni hayo maelezo alikuwa ktk hali gani
Sijakataa mkuuMkuu dunia ni Pana sanaaaa.Amini hili uchawi unaonekana.
Uchawi ni sanaa kama zilizo sanaa zingine.Hellow wakuu,
Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .
Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.
Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact
Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio maana ni ngumu kuelezeq mechanism yake hatua kwa hatua, ila procedure zake zinafahamika unaweza fanya usione jinsi unavyokwenda ila ukaona matokeo
Ukimuambia mdau wa penta life cycle akuonyeshe picha ya gravitation force atakushangaa kwasababu hakuna picha, ila ukimuambia uchawi upo atakuona umepotea njia bila kuhoji kiundani
Kiuhalisia uchawi ni force kama force zingine, huwezi kuiona force ila utaona effects.
Ni sawa na ncha mbili za sumaku zisizofanana ukizisogeza karibu zitakwepana ila huwezi kuiona hiyo repulsive force utaona na kuhisi effect ya hiyo magnetic force.
The same applies to wanaotumia dark force kufanikisha mambo yao, kama kwenye kazi zake ataona effects (impacts) ila siyo mchakato na mechanism behind inavyofanya kazi
Mtu anapojifunza uchawi hujifunza laws na principles zake kama ilivyophysics, mfano law of magnetism like poles attract each other, unlike poles repel each other
Laws na principles za uchawi ziko hivyo hivyo, mtu anayejifunza dark forces hufundishwa laws na principles kama abavyofundishwa physics
Wasomi wengi hawataki kufanya tafiti katika hii field ya dark forces kwa sababu wapo kwenye penta life cycle
Atakayesema uchawi haupo atuletee picha ya gravitation force please
Toa elimu jinsi ya kufungua jicho la.tatu na huo mwangaUchawi upo na unaonekana ukiwa na JICHO la TATU na mwanga wa paji la USO
Ni mchakato,nguvu za ndani unazo kwanza,taratibu zifuatwe na zikifunguka unajilindaje na wanaozuia zisionekane.Mambo mengi mazuri na makubwa yamefichwa na wanaoyajua hawakubali yajulikane.Toa elimu jinsi ya kufungua jicho la.tatu na huo mwanga
Na sifa ya elimu ni kuwepo waalimu wasafi na Wacha Mungu,Waeza kwenda kwa mwalimu karama na macho yako YAKAWA makubwa kuliko yake.JE ATAFANIKIWA KUKUVUMILIA.huu ni mtihani mwingine.Uchawi ni sanaa kama zilizo sanaa zingine.
Huo unaoitwa uchawi, na mengine hauna nguvu au ( effect )kwamtu yeyote, kama mtu huyu ( target ) atauruhusu au ruhusu iyo ( effect ) itokee kwake..
Kila kitu kina elimu yake, na kama mjuavyo elimu yoyote haina mwisho
Nguvu za ndani ni zipi na nitajuaje ninazo???Ni mchakato,nguvu za ndani unazo kwanza,taratibu zifuatwe na zikifunguka unajilindaje na wanaozuia zisionekane.Mambo mengi mazuri na makubwa yamefichwa na wanaoyajua hawakubali yajulikane.
Kuna kitu kwenye dini wanaita MALAIKA mlinzi,kwenye mizimu wanaita jabali,Wengine huita nyota.kila mtu anacho Sasa hutofautiana daraja na ukubwa na uzito.Sasa kuna mambo hufanyia kuviamsha na kwa sababu vinapigwa vita,Uamsho wake huwa wa pahala panapoitwa vilingeni na eneo mnaloweza kukubaliana.Nguvu za ndani ni zipi na nitajuaje ninazo???
Huko kujilinda sijui na ndio maana nikaomba ufundishe vyote hivyo
Ni kwann hawataki ya julikane
Vilingeni tena hapana hiyo inipite tuKuna kitu kwenye dini wanaita MALAIKA mlinzi,kwenye mizimu wanaita jabali,Wengine huita nyota.kila mtu anacho Sasa hutofautiana daraja na ukubwa na uzito.Sasa kuna mambo hufanyia kuviamsha na kwa sababu vinapigwa vita,Uamsho wake huwa wa pahala panapoitwa vilingeni na eneo mnaloweza kukubaliana.
Hata sayansi Ina maabara zake.Vilingeni tena hapana hiyo inipite tu