Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

Mkuu,

Lete wachawi tuwapate hawa watu wanatafutwa na serikali ya Marekani. Kuna zawadi ya mpaka dola za Kimarekani milioni 5 zitatolewa kwa atakayetoa habari za kukamata baadhi ya hawa watu.

Kama uchawi upo kweli, piga hela hiyo tuone upo kweli.

 
Uchawi ni chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma...

Uchawi upigwe marufuku.
Mtu anaefatilia mambo ya uchawi jua kabisa hakili hana
 
ALafu kwanini maskini ndo huwa wanaendeleza haya mambo ya uchawi aiseee
 
Uchawi unaendana na ujinga, na ujinga unaendana na umasikini.
Hapo tupo pamoja kabisa mkuu..
Naonaga wengi wanaofatilia haya mambo an hata ile creative thinking hawana kabisa.

Kuna jamaa angu akawa mpaka anataka kunirithisha kumchukia mtu akiniaminisha ni mchawi..

Huyu jamaa ukifatilia deep down ni hajui mambo kabisa ila kakomalia mambo ya uchawi uchawi tuu.

Mi mtu akileta story za uchawi sijui mara shekhe flani katoa hiki mara mganga kachimbua hiki hapo hapoa naanza kumkwepa najua kabisa kichwani ana tope
 
Hapo ndiyo mwisho wa uwezo wao kufikiri.
 
Nipe muongozo mkuu wa kuifikia hiyo taasisi
 
Uchawi ni chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma...

Uchawi upigwe marufuku.
Mtu anaefatilia mambo ya uchawi jua kabisa hakili hana
Uchawi una mchango mkubwa ktk ukuaji wa uchumi nchi hii mkuu

Matajiri karibia wote pengine hata boss wako anautumia

Wafanyabiashara wakubwa wengi huutumia kukuza uchumi


Kwa kulitambua hilo serikali inachombo maalum cha kuwatambua na kuwasajili watu wote wanaotoa huduma za jadi ikiwemo kuponya na kutatua changamoto kimila (waganga)



Wewe uelewa wako mkuu kwenye haya mambo ni mdogo
 
Sijataka hata kufatilia sana mkuu ila asilimia kubwa uchawi umekua na negative impact kwa jamii.

Uskii matukio yanayotokea mauaji ya alibino
,kulawitiwa kwa watoto, mauaji ya vibibi.
Bado makafara hayo.

Still unataka kutetea huo uchawi wako mkuu
 
Sometimes lack of common knowledge inafanya watu waamini hata jambo la kawaida ni uchawi


Hawa ndio hufanya watu wanaofuatilia hayo mambo kuonekana wajinga


Elimu ya uchawi ni zaidi ya degree ya engineering hufundishwa kwa vitendo zaidi ya miaka nane au kumi


Tunahitaji wacjawi wenye degree ili kuiboresha hii sekta na kuleta uvumbuzi mpya
 
Mkuu bado tunarudi pale pale..
Nijibu kwanini watu wengi wanaofatilia haya mambo ukicheki ni maskini..

Huo uchawi wao unawasaidia nn zaidi ya kurudisha nyma maendeleo ya wengine
 
Sijataka hata kufatilia sana mkuu ila asilimia kubwa uchawi umekua na negative impact kwa jamii.

Uskii matukio yanayotokea mauaji ya alibino
,kulawitiwa kwa watoto, mauaji ya vibibi.
Bado makafara hayo.

Still unataka kutetea huo uchawi wako mkuu
Uchawi unasheria zake mkuu kama zilivyo taaluma zingine

Hao wanaochochea mauaji na kubaka ni watu wanaovunja sheria makusudi kama watu wa taaluma zingine


Kuna muongozo na maadili hutolewa kabla ya kuwa na leseni mkuu
 
Mkuu bado tunarudi pale pale..
Nijibu kwanini watu wengi wanaofatilia haya mambo ukicheki ni maskini..

Huo uchawi wao unawasaidia nn zaidi ya kurudisha nyma maendeleo ya wengine
Labda hao wa huko kwenu mkuu

Kuna watu wana miliki ma hotel, guest maduka na gari za milioni 100 na ni wadau wazuri mno

Waumini wa hizo imani ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hii kuliko hata watumishi wa umma


Ninachokiandika hapa ninamaanisha
 
mkuu hivi unaamin mama mjamzito anaweza kurogwa akashindwa kujifungua kwa njia salama, hatimae akapasuliwa na kupoteza maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…