Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

brother uchawi upo na unafanyakazi. Waulize wanasiasa wa tanzania
Nimeweka link ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wanatoa mpaka dola milioni tano za Kimarekani ukiwasaidia kuwapata wahalifu wanaotafutwa.

Dola milioni tano ni hela ndefu sana.

Msiseme tu uchawi upo, tumieni huo uchawi kuwakamata hao wahalifu, mpige dola milioni tano, tujue kweli uchawi upo.
 
Uchawi unasheria zake mkuu kama zilivyo taaluma zingine

Hao wanaochochea mauaji na kubaka ni watu wanaovunja sheria makusudi kama watu wa taaluma zingine


Kuna muongozo na maadili hutolewa kabla ya kuwa na leseni mkuu
Wewe mchawi..?
 
Labda hao wa huko kwenu mkuu

Kuna watu wana miliki ma hotel, guest maduka na gari za milioni 100 na ni wadau wazuri mno

Waumini wa hizo imani ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hii kuliko hata watumishi wa umma


Ninachokiandika hapa ninamaanisha
Acheni story za vijiweni wakuu
 
Uchawi upo,lkn hautakiwi kuuogopa,mtu akikwambia nitakuroga usitishike, mwambie afanye aonavyo.
 
 
Wewe ni msanii,
 
Hiyo ipo kwa asilimia 100
sasa kwanin wasomi uchwara wa jf wanabisha? Mama mjamzito anateseka kwa uchungu zaidi ya wiki imegoma kushusha, anakuja mtaalam wa jadi analekebisha hata saa haipiti anajifungua salama.
 
Umeeleza vizuri sana kaka
 
Watu kama nyie ni wachache sana katika dunia ya leo! Ni mmoja kati ya mamilioni...! Hawazaliwi kila siku!

Sifa ya watu wenye uelewa mkubwa sana ni kuelewa mambo yasiyo eleweka...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…