Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Sasa huo ndio uchawi.?Niligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.
Nilikutana na Ustaadhi alinisomea dua. Baada ya hapo nilifaulu interview kesho yake.
Hakuna uchawi na wala uchawi haukuwai kuwepo... Kung'ang'ania Uchawi ni Ushamba wa Elimu
Mchawi ni mdada wa Kisomalikwa iyo hapo mchawi ni ostaz ama mdada wa kisomalia?
#fafanua?
hivi haujui kuwa, nguvu inayotumika kutoa uchawi nayo pia ni uchawi?Mchawi ni mdada wa Kisomali
We dawa yako ni kukuchukua msukule ukalime kama zezeta ndio utaamini. watu wanalima usiku na mchana kwa kulishwa asali na unga wa mahindi we unaleta usomi wako hapa!! eboo!!Hakuna uchawi na wala uchawi haukuwai kuwepo... Kung'ang'ania Uchawi ni Ushamba wa Elimu
Kila jambo lina mwisho wake dada.. Hata huo uchawi kuna siku utafikia tamati.. Nimeota babu anaumwa sanaNiligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.
Nilikutana na Ustaadhi alinisomea dua. Baada ya hapo nilifaulu interview kesho yake.
Comment Bora Ya Muda Wote Kwenye Thread Hii ππππ