Uchawi upo

Uchawi upo

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,158
Niligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.

Nilikutana na Ustaadhi alinisomea dua. Baada ya hapo nilifaulu interview kesho yake.
 
Mmh
tapatalk_1551103106792.gif
 
Mpunguze kuwa saliti, maana wengi wetu tuna fake maisha kama tumependa kweli mwisho wa ukikamilisha haja ako unatoka Nduki hiyo sio fix, hata manung'uniko yake tu ni nuksi Kwako
 
Niligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.

Nilikutana na Ustaadhi alinisomea dua. Baada ya hapo nilifaulu interview kesho yake.
Sasa huo ndio uchawi.?
 
kwa iyo hapo mchawi ni ostaz ama mdada wa kisomalia?

#fafanua?
 
Niligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.

Nilikutana na Ustaadhi alinisomea dua. Baada ya hapo nilifaulu interview kesho yake.
Kila jambo lina mwisho wake dada.. Hata huo uchawi kuna siku utafikia tamati.. Nimeota babu anaumwa sana
 
Back
Top Bottom