Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Winch Tena?
Mleta mada ameuliza swali "uchawi uliopo kwenye gari yenye 4WD" jibu ni kwamba Four Wheel Drive translate kwa kiswahili ndo uchawi wenyewe.

Kwa kawaida tairi za nyuma ndio zanazoendesha gari za mbele zinaongoza ukifika sehemu korofi km uterezi unaweka gia maalumu tairi zote 4 zinakua zinaendesha yani 4WD.

Vilevile kuna gari mfano Land Rover 110 tdi ni Full Time 4WD ikinasa haina mbadala ila kwenye mwinuko mkali ikishindwa kupanda unaweka Low gear.

Hata hivyo 4WD sio kwamba haikwami sehemu korofi huwa inanasa pindi diff inapogusa ardhi ndomana baadhi ya gari zina Winch mbele.
 
Aina ya tairi pia itachangia sana kukwama au kutokukwama kwako hata ukiwa na 4WD. Na gari zenye AWD kama Subaru zinakuwa stable zaidi kidogo barabarani kwa sababu ya traction ila consumption itashuka kidogo pia
 
Back
Top Bottom