Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kaziLand cruiser hii ya 2004 ya muingereza, ni mashine balaa
Aisee 4WD nazikubali sanaKazi kazi
Winch Tena?Four Wheel Drive ni nzuri pia All Wheel Drive Lakini Kama Unatumia 4×4 its better Uweke Winch Kwa Uhakika Wa Kutokwama Kwa Kutegemea 4wd
Mleta mada ameuliza swali "uchawi uliopo kwenye gari yenye 4WD" jibu ni kwamba Four Wheel Drive translate kwa kiswahili ndo uchawi wenyewe.Winch Tena?
Za mbele huwa hajizizungushi bali zinazungushwa na za nyuma.Vp ikiwa bila 4WD tairi zote hazizunguki?
Tafuta pesa weweAisee 4WD nazikubali sana
Mleta mada ameuliza swali "uchawi uliopo kwenye gari yenye 4WD" jibu ni kwamba Four Wheel Drive translate kwa kiswahili ndo uchawi wenyewe.
Kwa kawaida tairi za nyuma ndio zanazoendesha gari za mbele zinaongoza ukifika sehemu korofi km uterezi unaweka gia maalumu tairi zote 4 zinakua zinaendesha yani 4WD.
Vilevile kuna gari mfano Land Rover 110 tdi ni Full Time 4WD ikinasa haina mbadala ila kwenye mwinuko mkali ikishindwa kupanda unaweka Low gear.
Hata hivyo 4WD sio kwamba haikwami sehemu korofi huwa inanasa pindi diff inapogusa ardhi ndomana baadhi ya gari zina Winch mbele.
SureTutafute pesa wakuu nakumbushia tu
Winch nazipata wapi kwa Dar?Four Wheel Drive ni nzuri pia All Wheel Drive Lakini Kama Unatumia 4×4 its better Uweke Winch Kwa Uhakika Wa Kutokwama Kwa Kutegemea 4wd
Kweli Kaka.Hizi ni akili za kimaskini za watu wenye uwezo wa gari moja
To the best of my knowledge sijawai ipenda diff lock,4WD unasema uchawi ,
Ukipata Chuma yenye diff lock utasemaje sasa