Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

Lattafa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
497
Reaction score
738
Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja.

Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya kufanya mtu akupende.

Nikaamua kufanya mazoezi kwa siku saba. Nikachagua vidokezo vitano vilivyokubalika na vya kimaadili na nikavitumia kila siku kwenye harakati zangu za kutongoza, "in the game"

Matokeo yalikuwa ya kushangaza zaidi ya nilivyo tarajia.Baadhi yalifanikuwa na mengine niliangukia pua, noma Sana!

Swali kwa wanajamii.

Je, Umewahi kutumia mbinu za aina hii? Ilifanya kazi?

Unaamini Kuna Sanaa ya kuvutia Mpenzi au ni upuuzi tu?

Kwa wanawake : Je, mnagundua wakati wanaume wanapotumia mbinu hizi?
Umeshawahi itika baada ya hizi sound za kumezeshwa YouTube?
 
Duuh bado mnatongozaga wakuu...
Yaan mimi skumbuki mara ya mwisho lini kumtamkia mtu nampenda au kutongoza an mi naweza kazingira ambayo yeye moja kwa moja atachagua abaki apate tamu au laaa
 
Duuh bado mnatongozaga wakuu...
Yaan mimi skumbuki mara ya mwisho lini kumtamkia mtu nampenda au kutongoza an mi naweza kazingira ambayo yeye moja kwa moja atachagua abaki apate tamu au laaa
Ukizeeka,utakuwa unakaa unakumbuka ujinga ulioufanyaga unajicheka mwenyewe!
 
Back
Top Bottom