Uchawi wa Mahusiano ni pesa

Uchawi wa Mahusiano ni pesa

Mkuu wangu si bure kutakuwa na lililokukumba RECENTLY ukaamua utueleze Jambo Lililo Kongwe na kuacha HISIA za kiliberali😂😂😂.

Bora umewaacha BETA MALES kuja kwetu kambi ya ALPHA MALES....

Alpha Males 4ever😁😁.
 
hiyo ni hatari,hasa maisha ya kipato yanapokuwa yanabadilika badilika
Hapo ndipo mnapoanza kubadilisha maana.

Si kwamba umpe kila mara..jitahidi kumpa pesa pasipo kukuomba..ili kesho ukikwama tunakuwa tunaelewa.

Sio kupenda kitonga tu.
Yes nafanya kazi napata pesa lakin na wewe kwa kiwango uonyeshe ushirikiano.loh
 
Hapo ndipo mnapoanza kubadilisha maana.

Si kwamba umpe kila mara..jitahidi kumpa pesa pasipo kukuomba..ili kesho ukikwama tunakuwa tunaelewa.

Sio kupenda kitonga tu.
Yes nafanya kazi napata pesa lakin na wewe kwa kiwango uonyeshe ushirikiano.loh
Kweli, ngoja tupambane kuzitafuta
 
Pesa tamu jamani,.... Hata kwenye familia mtoto mdogo akiwa na pesa ataheshimika na kusikilizwa kuliko wewe mkubwa usiye na kitu, tena usiye na pesa kwenye familia Unaitwa mtata
😂😂😂😂😂
 
Mbwa, mbuzi, paka😂😂😂😂...
Bila pesa hakuna mapenzi na kusingekuwa na mapenzi hela isingekuwa pasua kuchwa...tafuta hela mkuu japo natamani kujua kimekupata nn? Au ndo umeitwa majina ya wanyama😂😂😂
Looh😂😂😂nami pia nimemuuliza hajanijibu😁😁😁
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
 
Back
Top Bottom