Uchawi wa Mahusiano ni pesa

Yaani nimepata funzo kubwa kwenye maisha yangu sitakuja kumuamini binadamu mweusi hata siku moja wapo kinafki zaidi.
Bora umelijua hilo mapema. Hamna mapenzi sikuhizi ukiwa huna kitu. Watu hu focus katika pesa maana ndio namna pekee watanufaika.

Muhimu ni kujipenda sana wewe kama wewe. Mapenzi yatakufuata tu!
 
Pesa tamu jamani,.... Hata kwenye familia mtoto mdogo akiwa na pesa ataheshimika na kusikilizwa kuliko wewe mkubwa usiye na kitu, tena usiye na pesa kwenye familia Unaitwa mtata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ohoooo...
 
Kuna wakati unajikuta upo kwenye mahusiano ya Bora liende labda sababu ya upweke n.k
Duh, bora liende tena.!? Ishawahi kukutokea hio ukawa na mtu sababu tu hutaki kuwa single.😂😂😂?
 
Ndiyo nimewahi
Dah ila mahusiano bana, next time usifanye hivyo lakini. Najua jamaa aliishia kuumizwa tu! Make sure uko pamoja na hisia unapoamua kuwa na mtu.
 
Ingawa hata ndugu nao huwa wanazingua muda mwingine ila ukiwasaidia atleast unajiwekea akiba badae ukiumwa au kupata ulemavu wanaweza wakakusaidia.
Ila ndugu ni muhimu, mapenzi huisha urafiki hufa ila udugu haufi. Saidia wale wanaohitaji msaada wako.
 
Habari wanajamvi? Napenda tushirikishane uzoefu wa mawazo au mitazamo tofauti juu ya tendo zima la mapenzi/ kujamiiana.
Mara nyingi watu wamekuwa wakisema kwamba mapenzi ni hisia, wengine wanasema kwamba mapenzi ni pesa, ni kundi gani lipo sahihi Katika mustakabali mzima wa jambo hili hasa kwa nyakati hizi tulizopo?

Labda tuanzie kwa hawa madada-poa wanaojiuza barabarani, kwenye mahoteli, kwenye madangulo, kasino n.k-

Hivi kwenye hili suala zima la sexy mwanamke huyo anapokuwa na mteja wake huwa ana enjoy (anastarehe) kweli ule muda wa kufanya kitendo au anamtegea tu yeye anawaza pesa? Kumbuka wateja ni wengi na kila mmoja ana ufundi wake, kila mmoja ana maumbile yake na saizi yake, na kila mmoja ana joto lake.

Huwa napata ukakasi sana ninapovuta picha kwa upande wa huyo mwanamke awapo na mteja wake huyo uwanjani, huwa ana-enjoy au anakuwa hana hisia muda huo anamtegea tu amalize ampe pesa yake asepe.

Tunakuja na upande wa wanaume nao hawa wanao nunuaga wanawake wale wanaojiuza, hivi huwa wanapata raha kama zile wanapokuwa na wachumba zao au wake zao nyumbani kwenye lile tendo? Maana pale anakua ametoa pesa, wakati anafanya nae anakuwa anasisimka kama vile kwa yule wa nyumbani au pale ni tamaa tu hamna jipya?

Mapenzi ni pesa au hisia?

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…