Uchawi wa mzungu

Uchawi wa mzungu

Mfanowake

Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
25
Reaction score
35
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!.

Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa.

Niruhusu mjadala kwanza Kisha baadaya ya kupata mitazamo ya watu na uelewa wa watu juu "kwani neno Uchawi kimewekewa hapa"? .

Karibu!
 
Neno wizard limetimika kwenye installation software za window hasa window xp. Computer kama computer ni uchawi.
Uchawi ni siri za wachache. Kama ilivyo uchawi wetu kuupata ni ngumu ni hivyo hivyo teknolojia ya mzungu. Kama kila mtu akijua kuunda computer haitakuwa uchawi tena. Mfano kuunda gari ni kama kitu cha kawaida sio uchawi tena ila ndege bado ni siri ngumu kuijua.
Kwa hio uchawi ni siri
 
Teknolojia ni uchawi ambao upo sugar coated
huu tulokua nao ndo tukaambiwa ni BLACK MAGIC au UCHAWI ni mbaya tuuache tujifunze wa kwao
tukaletewa Physics chemistry na mengineyo lakini hata ubukue vipi hauambiwi 5G internet wanaitoa wapo na internet imeanzaje
 
Kikawaida sisi binadamu tunatabia ya kuita vitu tusivyovifahamu uchawi, halafu pia lugha yetu ni Changa wizard, Sorcerer, magician, Magus, mage, witch etc vyote sisi ni uchawi.
 
Teknolojia ni uchawi ambao upo sugar coated
huu tulokua nao ndo tukaambiwa ni BLACK MAGIC au UCHAWI ni mbaya tuuache tujifunze wa kwao
tukaletewa Physics chemistry na mengineyo lakini hata ubukue vipi hauambiwi 5G internet wanaitoa wapo na internet imeanzaje
Bro hivi vitu vyote vina maelezo yake, kuna nyuzi kibao humu zinaelezea internet inafanyaje kazi.
 
Neno wizard limetimika kwenye installation software za window hasa window xp. Computer kama computer ni uchawi.
Uchawi ni siri za wachache. Kama ilivyo uchawi wetu kuupata ni ngumu ni hivyo hivyo teknolojia ya mzungu. Kama kila mtu akijua kuunda computer haitakuwa uchawi tena. Mfano kuunda gari ni kama kitu cha kawaida sio uchawi tena ila ndege bado ni siri ngumu kuijua.
Kwa hio uchawi ni siri
Powerful
 
Hakuna kitu kigumu kwenye technology sema kwa nchi yetu kuna ugumu kwakuwa wenye akili hawana pesa na wenye pesa hawana akili ivyo kubadilisha idea kuwa tangible kwa wasio na pesa ni ngumu na wenye pesa nisiwaseme vibaya ila naonaga kama hawajui kuutumia upeo. ndio maana huku kwetu kila kitu kinaonekana hakiwezekani hasa kwa wasio na pesa na pia wakawa hawana akili. NB: Kutokuwa na akili ninamaanisha kutokuwa na upeo wa kufahamu mambo kiundani, nisitafsiriwe vibaya.
 
Hakuna kitu kigumu kwenye technology
Ungetoa na mifano ingekuwa vizuri. Wazungu wenyewe wanaomiliki technology ni wachache halafu unatuambia tech ni kitu rahisi tu.
Wabongo huwa siwaelewi yaani hamjaunda chochote halafu unatuambia hakuna vitu vigumu.
Kwa maneno ni kweli hakuna tech ngumu ila kwa vitendo tech ni ngumu sana sana na ndio maana majority hawajui chochote . Wazungu wenyewe wanahangaika bado na mambo mengi hawajafikia ufanisi wa juu.
Teknolojia ni uchawi na uchawi ni siri.
 
Engagement ya technology kwetu huwa ni ndogo na waliokuwa engeged huwa wana loose apetite na wanachofanya au kusababishwa ku loose apetite, wengi tunakuwa na vipaji ila maisha yanatuchanganya
 
Neno wizard limetimika kwenye installation software za window hasa window xp. Computer kama computer ni uchawi.
Uchawi ni siri za wachache. Kama ilivyo uchawi wetu kuupata ni ngumu ni hivyo hivyo teknolojia ya mzungu. Kama kila mtu akijua kuunda computer haitakuwa uchawi tena. Mfano kuunda gari ni kama kitu cha kawaida sio uchawi tena ila ndege bado ni siri ngumu kuijua.
Kwa hio uchawi ni siri

Unachanganya siri na gharama.
 
Engagement ya technology kwetu huwa ni ndogo na waliokuwa engeged huwa wana loose apetite na wanachofanya au kusababishwa ku loose apetite, wengi tunakuwa na vipaji ila maisha yanatuchanganya
Bro wooote wanakosaa apetite. Kwa nini tusiseme sisi ni watu waliokufa huku tunaishi ?
Imagine hadi Vietnam inataka kuwa chip fubricationand manufactuting hub. India wamezindua Quantum computer yao ya kwanza. Kiufupi tu mambo ni magumu kwetu watu weusi.
Hata wanaopelekwa ulaya huoni huko wakianzisha startup za maana kujitambilisha ktk dunia kwa kutumia infrastructure za huko huko.
Vikina Altman vimezaliwa juzi ila vina drive AI future tech, angalia Elon amehamia USA na anaongoza tech kubwa.
Mkuu tuishie hapa tu, haina maana ku argue vilivyowazi.
Waafrika tumebaki na visingizio lukuki.
Yaani visingizio vinajaa encyclopedia book.
Tuanzishe encyvlopedia ya visingizio.
 
Unachanganya siri na gharama.
Gharama kwenye nini ?.
Invention haiitaji gharama kubwa ila manufacturing ya hio invention ndio ghali.
Kampuni zote za uaya hazikuanza na matriilioni walio nayo leo.
Siri ni ule ufunuo wa ujuzi unaoweza kubainishwa kuwa kitu halisi.
Hivi kubuni/ kugundua formula za hisabati/ fizikia inahitaji mabilioni ya pesa mkuu ?
Kubuni formilae za compond fulani inahitaji pesa ?
 
Kwa upande wangu naona tumeathiriwa na kitu kinaitwa njaa na kutotaka kujishughulisha na kuwa na elimu mbovu na pia ufatiliaji mbovu wa mambo na kutotaka kujifunza kabisa
 
Vitu vya kufanya vipo na vinaonekana ila wafnyaji tunaogopa kutokana na vitu hivi, Lack of knowledge, Poor Infrastructure, Poor Government Support, Lack of Capital and Lack Materials 😀😀😀, na ushabiki wa vitu visivyokuwa na maana, mfano ingia jamiiforums jukwaa hili hili angalia vitu vinavyojadiliwa 90% ni mtu anasema anapesa atanunua simu gani, mara tv gani, mara sound bar ipi, ukienda jukwaa la elimu utakuta watu wanataka bdilishana vituo vya kazi, sijui mtu anasema matokeo yangu ni haya nikasome kozi ipi, yaani hata mtu ajui anataka nini ila anaendeshwa na matokeo, kuna watu wanaulizana shule gani inafaulisha. Inshort vijana hawajitumi na waliosoma 98% hawana maarifa na walichosomea ivyo tusubirie tu ajira na vitu kuletewa na mzungu.
 
Teknolojia ni uchawi ambao upo sugar coated
huu tulokua nao ndo tukaambiwa ni BLACK MAGIC au UCHAWI ni mbaya tuuache tujifunze wa kwao
tukaletewa Physics chemistry na mengineyo lakini hata ubukue vipi hauambiwi 5G internet wanaitoa wapo na internet imeanzaje
 
Gharama kwenye nini ?.
Invention haiitaji gharama kubwa ila manufacturing ya hio invention ndio ghali.
Kampuni zote za uaya hazikuanza na matriilioni walio nayo leo.
Siri ni ule ufunuo wa ujuzi unaoweza kubainishwa kuwa kitu halisi.
Hivi kubuni/ kugundua formula za hisabati/ fizikia inahitaji mabilioni ya pesa mkuu ?
Kubuni formilae za compond fulani inahitaji pesa ?

Kinachowashinda nchi nyingi hadi Leo ni manufacturing. Airbus inatengenezwa na Europe nzima kila nchi inatengeneza some parts tu. Hakuna uchawi wala nini. Mawazo mgando hayo.

Hivi hata toothpick nayo ni uchawi mbona TZ tunaagiza toothpick, toilet paper hadi Leo? Au nayo wameficha siri?
 
Back
Top Bottom