Uchawi wa mzungu

Uchawi wa mzungu

kwa uelewa wangu mdogokulingana na mleta mada kila anaetumia kifaa cha mzungu kashiriki uchawi hivyo sote ni washirikina nawasilisha
 
Neno wizard limetimika kwenye installation software za window hasa window xp. Computer kama computer ni uchawi.
Uchawi ni siri za wachache. Kama ilivyo uchawi wetu kuupata ni ngumu ni hivyo hivyo teknolojia ya mzungu. Kama kila mtu akijua kuunda computer haitakuwa uchawi tena. Mfano kuunda gari ni kama kitu cha kawaida sio uchawi tena ila ndege bado ni siri ngumu kuijua.
Kwa hio uchawi ni siri
100%,bila shaka hukuwa kilaza class,umejibu vzur sana
 
toothpick nayo ni uchawi.
Kama hujui mbinu za kutengeneza machine za kuunda toothpicks basi ni uchawi.
Machine za kuunda tooth pick zina hatua zisizopungua sita ambazo ni complicated kuliko unavyodhani.
Machine au mitambo hio inamaajabu yake. Kuiunda inahitaji very advance mechanics.
Kwa kuwa waafrika bado hutajaweza kuiunda mitambo hio naiweka kwenye kundi moja la uchawi wa mchina.
Zingatia neno SIRI.
 
Kitu ambacho huwezi kinakua uchawi? Mna umeme wa kutosha kuendesha viwanda? Mna wataalam? Marekani ana technology zote ila kila kitu anapeleka kuzalisha China nae kazidiwa uchawi?

Let's play dumb tuseme ni uchawi, Nyie uchawi wenu unaweza nini? Au hata uchawi wenyewe mmezidiwa?

Unaweza kujua kutengeneza kitu na bado kikakushinda, kipo wapi kiwanda cha magari cha Nyumbu?

Kujua kufanya kitu doesn't necessarily make you able to do it. Kuna other factors.
 
Kitu ambacho huwezi kinakua uchawi
Kama hujaelewa tulia tu. Uchawi wa mzungu sio ule wa bibi na babu zako .
Bill gate alipo andika ktk software zake hili neno
"Application wizard installed well" wewe huwa unatafsiri ni uchawi wa bibi na babu wa kiafrika ?
Mna umeme wa kutosha kuendesha viwanda?

huko marekani waliutoa wapi ? Ulishuka kama mwanga freely
Marekani ana technology zote ila kila kitu anapeleka kuzalisha China nae kazidiwa uchawi?
China ndie aliefanikiwa kuambukizwa uchawi wala si vinginevyo. Uzalishaji unaweza usiuhusiane na umiliki wa uchawi wa kuzalisha bidhaa yenyewe. Mfano Cocacola Tanzania wanazalisha soda ila hawana uchawi/ ufundi wa formula za kemikali za kuchanganya.
Shel TZ wanazalisha dawa ila hawana ufundi au uchawi wa formula za dawa zenyewe. Assembling au manufacturing sio uchawi bali fomula za kuunda hizo machine za kuzalisha bidhaa ndio uchawi wenyewe.
Case ya China na USA hio ni tofauti sana, wote wawili ni wachawi wa teknolojia. Mchawi huunda urafiki na mchawi mwenzie.
 
Let's play dumb tuseme ni uchawi, Nyie uchawi wenu unaweza nini? Au hata uchawi wenyewe mmezidiwa?
Urudi tena kwenye comment utaelewa maana ya uchawi. Narudia tena uchawi ni siri, uwe wa mswahili au mzungu. Ni siri.
Maswali yako mengine yapo nje ya maoni yangu labda watakujibu wengine maana sio msingi wa hoja ilioletwa.
 
Kama hujaelewa tulia tu. Uchawi wa mzungu sio ule wa bibi na babu zako .
Bill gate alipo andika ktk software zake hili neno
"Application wizard installed well" wewe huwa unatafsiri ni uchawi wa bibi na babu wa kiafrika ?

huko marekani waliutoa wapi ? Ulishuka kama mwanga freely

China ndie aliefanikiwa kuambukizwa uchawi wala si vinginevyo. Uzalishaji unaweza usiuhusiane na umiliki wa uchawi wa kuzalisha bidhaa yenyewe. Mfano Cocacola Tanzania wanazalisha soda ila hawana uchawi/ ufundi wa formula za kemikali za kuchanganya.
Shel TZ wanazalisha dawa ila hawana ufundi au uchawi wa formula za dawa zenyewe. Assembling au manufacturing sio uchawi bali fomula za kuunda hizo machine za kuzalisha bidhaa ndio uchawi wenyewe.
Case ya China na USA hio ni tofauti sana, wote wawili ni wachawi wa teknolojia. Mchawi huunda urafiki na mchawi mwenzie.

Ever heard of the word reverse engineering? Nothing can't be reverse engineered let alone vitu rahisi kama soda au dawa.

Coca cola wanasema ni secret recipe for market purposes in reality anyone can make coca cola but what's the point ukitengeza kama wao exatly? Coca anadai yake ni siri ili aendelee kuuza. This has been proven already. If you're dumb enough utaamini ni siri.

Chemical formula ya dawa ni sawa either made in India or TZ wanaongeza additives tu kuongeza ladha. Kitachokubana ni trademark na other patent restrictions.

In Computing, Application wizard, is a help feature of a software package that automates complex tasks by asking the user a series of easy-to-answer questions. Naona wewe unachukua mambo literally.
 
Mada nzuri sana ila inahitaji utulivu kuijadili.

Binafsi naamini tofauti ya uchawi na technology ni kuwa technology imerasimishwa kwa kuwa documented wakati uchawi umebaki siri na maarifa ambayo hayajafanyiwa utafiti rasmi na kurasimishwa.

Ninapoongelea utafiti na kurasimishwa naongelea kuweza kutolea maelezo ukitaka jambo fulani litokee au lisitokee fanya hivi, na maelezo ya kwa nini scenario hizo zinatokea. Ukimuuliza mtu bluetooth inafanyaje kazi atakwambia kwa sababu ni kitu kiko documented ila kuna kipindi hiyo technology ingeangukia katika kundi la uchawi. Kimsingi kinachotakiwa kufanyika ni kama tafiti za kisayansi zinavyofanyika na kupata hii tunayoita technology.

Niliwahi kushauri tufanye utafiti wa kutambua nguvu za asili zenye manufaa chanya kwa jamii, tuzidocument na kuzirasimisha au hata kuziweka na kuzilinda katika himaya ya taasisi rasmi binafsi au ya kiserikali katika mfumo wa "patent".
 
has been proven already
Proven by you ? Or proven by the same white people?
patent restrictions
Si ndio uchawi wenyewe ? Ingekuwa sio hivyo si ingekuwa public knowledge.
Patent in USA kikomo ni 20 yrs lakini bado mwafrika wala hajawahi weza kufungua hizo code.
Application wizard
Kwa nini watumie neno wizard na si vinginevyo. Kwani wangesema application system au software isinge sound ? maajabu yenyewe ya computation ndio yamependekeza huo msamiati .
Narudia tena uchawi wa mzungu ni siri wanazozijua wachache.
Kumbuka hoja ya mtoa mada . Bado jibu langu ni lile lile. Naona wewe unalitafsiri neno uchawi kama KUROGA.

Nje ya mada:
Halafu tusipende porojo na kufunika mambo. Siri za mzungu sisi waafrika bado hatujazifungua. Utaishia kuto tafsiri tu hapa tukikuuliza iwapo unaweza onesha mfano wowote wa kutetea hoja bado utaleta visingizio.
Hakuna mpaka sasa hapa TZ atukuonesha kampuni yake yiliobeba siri za.
1.madawa
2.machinery
3.Electronics Hardware softare
4.Automation
5.Robotics
6.Aviation
7.Marine
8.Nano technology.
Namengineyo mengi.

Mmejitahidi sana mtaishia kuunda tu app,
Mashine za kusaga na kukoboa, kupukuchua mahindi, au kuunga vitu vilivyotoka nje. kufunga na kufungua transformer, kufunga mifumo.
Nadhani utakuwa umenileewa dhana ya "uchawi wa mzungu". Mi binsfsi hiwa sipendi mbwe bwe wakati output hamna.
Hii mada haitaki mbwe mbwe bali vitu halisi. Shawishi kwa uhalisia sio maneno ya google.
 
Proven by you ? Or proven by the same white people?

Kwani waliokwambia ni siri si ni hao hao white people? Coca wanajua mtu yeyote anaweza tengeneza soda kama yao and people do that daily the only tool waliyonayo ni kusema yetu ni secret recipe hata kama zinafanana ladha exactly.

Patents are public viewable sijui huo usiri unautoa wapi. Hata patents ambazo zipo on public domain tayari for anyone to use bado hatuzitumii ambazo ni nyingi sana kuliko hata mpya. Zingine unaweza tumia so long as you compensate the owner hata hizo nazo hatuzitumii.

Hivi sisi tumekatazwa kugungua na kusajili patents? Kwanini tuone mizungu wachawi kwa ugunduzi wao tu?
 
Hivi sisi tumekatazwa kugungua na kusajili patents? Kwanini tuone mizungu wachawi kwa ugunduzi wao tu?
Naona umetoka kwenye mjadala Unaelekea kuleta mjadala hoja nyingine. Hoja ilikuwa ni uchawi wa mzungu ni nini ?
Mtoa mada kaleta hili nini tulijadili. Kila mtu kwa upeo wake kaeleza nini maana ya uchawi wa mzungu.
Nawe ueleze uchawi wa mzungu ni nini sio kubishia upeo wangu. Uchawi wa mzungu sio neno la kitaaluma wala kwamba utaweza rejea vitabu na maandiko au tafiti.
Uko huru kueleza unavyoelewa ni neno la kizushi la mtaani halijawahi kuwa rasmi.
 
Back
Top Bottom