mtoro wa shule
Member
- Jul 30, 2015
- 82
- 163
kwa uelewa wangu mdogokulingana na mleta mada kila anaetumia kifaa cha mzungu kashiriki uchawi hivyo sote ni washirikina nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%,bila shaka hukuwa kilaza class,umejibu vzur sanaNeno wizard limetimika kwenye installation software za window hasa window xp. Computer kama computer ni uchawi.
Uchawi ni siri za wachache. Kama ilivyo uchawi wetu kuupata ni ngumu ni hivyo hivyo teknolojia ya mzungu. Kama kila mtu akijua kuunda computer haitakuwa uchawi tena. Mfano kuunda gari ni kama kitu cha kawaida sio uchawi tena ila ndege bado ni siri ngumu kuijua.
Kwa hio uchawi ni siri
Kama hujui mbinu za kutengeneza machine za kuunda toothpicks basi ni uchawi.toothpick nayo ni uchawi.
Kama hujui mbinu za kutengeneza machine za kuunda toothpicks basi ni uchawi.
Machine za kuunda tooth pick zina hatua zisizopungua sita ambazo ni complicated kuliko unavyodhani.
Machine au mitambo hio inamaajabu yake. Kuiunda inahitaji very advance mechanics.
Kwa kuwa waafrika bado hutajaweza kuiunda mitambo hio naiweka kwenye kundi moja la uchawi wa mchina.
Zingatia neno SIRI.
Kama hujaelewa tulia tu. Uchawi wa mzungu sio ule wa bibi na babu zako .Kitu ambacho huwezi kinakua uchawi
Mna umeme wa kutosha kuendesha viwanda?
China ndie aliefanikiwa kuambukizwa uchawi wala si vinginevyo. Uzalishaji unaweza usiuhusiane na umiliki wa uchawi wa kuzalisha bidhaa yenyewe. Mfano Cocacola Tanzania wanazalisha soda ila hawana uchawi/ ufundi wa formula za kemikali za kuchanganya.Marekani ana technology zote ila kila kitu anapeleka kuzalisha China nae kazidiwa uchawi?
Urudi tena kwenye comment utaelewa maana ya uchawi. Narudia tena uchawi ni siri, uwe wa mswahili au mzungu. Ni siri.Let's play dumb tuseme ni uchawi, Nyie uchawi wenu unaweza nini? Au hata uchawi wenyewe mmezidiwa?
Kama hujaelewa tulia tu. Uchawi wa mzungu sio ule wa bibi na babu zako .
Bill gate alipo andika ktk software zake hili neno
"Application wizard installed well" wewe huwa unatafsiri ni uchawi wa bibi na babu wa kiafrika ?
huko marekani waliutoa wapi ? Ulishuka kama mwanga freely
China ndie aliefanikiwa kuambukizwa uchawi wala si vinginevyo. Uzalishaji unaweza usiuhusiane na umiliki wa uchawi wa kuzalisha bidhaa yenyewe. Mfano Cocacola Tanzania wanazalisha soda ila hawana uchawi/ ufundi wa formula za kemikali za kuchanganya.
Shel TZ wanazalisha dawa ila hawana ufundi au uchawi wa formula za dawa zenyewe. Assembling au manufacturing sio uchawi bali fomula za kuunda hizo machine za kuzalisha bidhaa ndio uchawi wenyewe.
Case ya China na USA hio ni tofauti sana, wote wawili ni wachawi wa teknolojia. Mchawi huunda urafiki na mchawi mwenzie.
Mkemia = alchemist,Sorcerers ni wakemia
Proven by you ? Or proven by the same white people?has been proven already
Si ndio uchawi wenyewe ? Ingekuwa sio hivyo si ingekuwa public knowledge.patent restrictions
Kwa nini watumie neno wizard na si vinginevyo. Kwani wangesema application system au software isinge sound ? maajabu yenyewe ya computation ndio yamependekeza huo msamiati .Application wizard
Sogea mbele utapata jibu,Mkemia = alchemist,
Proven by you ? Or proven by the same white people?
Hesabu mbalimbali zimegunduliwa maeneo mbalimbali duniani.Hesabu ni uchawi mkubwa wa mzungu.
Naona umetoka kwenye mjadala Unaelekea kuleta mjadala hoja nyingine. Hoja ilikuwa ni uchawi wa mzungu ni nini ?Hivi sisi tumekatazwa kugungua na kusajili patents? Kwanini tuone mizungu wachawi kwa ugunduzi wao tu?