Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake


Daah!.Kumbe Hajaanza Leo Haya Makitu.Inaonekana Uchawi Asili Yake.Ila Mwisho Wake Unakaribia.Asubir Aone Kama Uchawi Ni Dili.
 
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.

Naomba niwekee picha yake ya kafara ili nijiridhishe na ushahidi maana naona unaandika barua ndefu bila attachment, halafu wewe ni mbwa wa mungu eeh⁉mungu hana mbwa nina mashaka na imani yako pia usikute huwa mnapishana na diamond huko kwa waganga nigeria ndio maana mnajuana
 
hivi alikujaga kukiri kwamba ulikua uchawi?
mr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu na hawatakaa washuke kwenye game labda waache mziki


mfano cassim anatulia anatoa nyimbo inabamba
source pwilo
 
Last edited by a moderator:
Fanya kazi kwa bidii acha kutegemea mwanadamu f.a.l.a. weweee
Mmssyyuu

Huu Ushauri Unamfaa Domo Mburula Mwenzio.Sema Yeye Wa Tandale Cjui Wewe Ni Mburula Wa Wapi Vile?.Ebu Tukumbushe.
 
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.

Amemtoa nani kafara?
 
DOGofGOD

Wanga kila kona, ama zangu ama zao!
Chibu anapiga hela wee mafuriko yanakubeba, dah!
Alafu Mond anavyozidi kupaa baadhi ya watu ndo chuki zao za ndani zinazidi kuwamaliza! Wee utakuwa shabiki ya YANGA.
 
Last edited by a moderator:

Umeongea Pointi Sana Mkuu.Ipo Siku Wataelewa Iki Tunachokisisitizia Hapa.Wasanii Kama Mr.Blue, Kingkiba Wanatumia Vipaji Asilia Hawatakaa Washuke Kimuziki Hata Kama Miaka20 Ijayo.Ila Chibu Anatumia Pete Ya Bahati Kutoka Nigeria.Huyu Siku Zake Zinahesabika.
 
Last edited by a moderator:
siku akikosea masharti
kwani kanumba si ilikuwa anakataa hivihivi kama huyu


believe or not ??
 
Ni bora mchawi kuliko mfitini, mpiga makungu, mwongo na mpinga maendeleo DOGofGOD
 
Last edited by a moderator:
We ndo mchawi kuzidi wachawi wenyewe, tena kwa hizi tabia zako lazma utakua unapaa na ungo

Nilikua Nakuona Una Akili Sana.Kumbe Na Wewe Kichwani Zero Kama Mamburula Wengine Humu Jf.Yuko Wapi Mr.Nice Na Ushirikiana Wake.?

Hivi Kweli Binadamu Mwenye Akili Timamu Anaweza Kupenda Nyimbo "Kuku Kapanda Baiskeli".Kama Sio Nguvu Ya Ndumba.? Husiwe Na Mawazo Mgando Funguka.
 
hivi utamjuaje mchawi kama huwangi nae
 
Last edited by a moderator:
Huu Ushauri Unamfaa Domo Mburula Mwenzio.Sema Yeye Wa Tandale Cjui Wewe Ni Mburula Wa Wapi Vile?.Ebu Tukumbushe.

Duh!
Domo anatisha, naona anakung'uta bakora mpaka tacko lako limekuwa JEKUNDUUUU, na bado anakucharaza tuu hauna pa kutokea!
Pole sana ila ndo maisha hayo! Jikaze kisabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…