Bigboot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 310
- 77
nambie biggiebtylvr
Teh teh upo mama Africa, sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nambie biggiebtylvr
Ndomana Mnaua Vipaji.Mnashabikia Mpaka Mambo Yasiyofaa.Mkiitwa Mamburulaz Mnatoa Povu.
acheni kumwaga povu q chief na rich mavoko walishawahi kulalamika kwamba daimond anaworoga na juzi babu tale alisema cloudz anaamini uchawi na anashiriki so we ukiamini usiamini does not matter lakini suala la uchawi wasanii wenzako walishalalamika zaaamani kwamba anawaroga ney wa mitego na daimond wanajuana vizuri saanaa kwenye hayo mambo ndo maana ney yupo karibu nae saanaa
We ndo mchawi kuzidi wachawi wenyewe, tena kwa hizi tabia zako lazma utakua unapaa na ungoHizi Ni Sign Za Kichawi.We Zishabikie Tu Shauri Yako.
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
mr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu na hawatakaa washuke kwenye game labda waache mzikihivi alikujaga kukiri kwamba ulikua uchawi?
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
what this ???nambie biggiebtylvr
what this ???nambie biggiebtylvr
mr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu nachawatakaa washuke kwenye game labda waache mziki
mfano cassim anatulia anatoa nyimbo inabamba
source pwilo
Teh teh upo mama Africa, sema
We ndo mchawi kuzidi wachawi wenyewe, tena kwa hizi tabia zako lazma utakua unapaa na ungo
hivi utamjuaje mchawi kama huwangi naemr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu nachawatakaa washuke kwenye game labda waache mziki
mfano cassim anatulia anatoa nyimbo inabamba
source pwilo
Huu Ushauri Unamfaa Domo Mburula Mwenzio.Sema Yeye Wa Tandale Cjui Wewe Ni Mburula Wa Wapi Vile?.Ebu Tukumbushe.