Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

Na freemasson iliishia wapi!? Na niliona pia sehemu diamond anabeba unga, sasa umekuja uchawi wa Nigeria watanzania acheni uzembe wa kufikilia kila chenye jitihada kina mavuno mazuri!
 
Mi I Thnk Kuabudu Kitu Au Miungu Fulani Ni Personal Issue,cz Kuna Wengne Hata Huko Nigeria Hawaendi Sana Stll Wamefanikiwa,so M Nahx Ushabikie Nyimbo Zake Na Sio Dini Yake Cz Wew Hakuhusu Na Haikusaidii,na 2 Hakuana Dini Au Kitu Ambacho Inaelezwa Au Kinaelezwa Ni Perfct Na Dunia Nzma 2napaswa Kuifuata Hakuna Hyo Dini..So Evry1 Anaabudu Anachokisikia Na Imani Yake Inapoangukia...
 
Mtoa post ni mbulu.....la tu.Leta ushahidi wa Mond akiwa kwa waganga!! Ur an idi..ot kukaa na kufikr mafanikio yanapatikana in such stupidity thoughts!!!!! Fanya kazi kwa bidii mpuuz wewee

Taifa Kua Na Binadamu Wenye Mawazo Kama Ya Kwako Ni Hasara Kubwa.Au Labda Ni Nguvu Ya Ile Pete.

Wewe ungekuwa na mawazo yasiyo na hasara usingekaa na kufikiria kwamba anaefanikiwa kimaisha kama diamond anatumia uchawi. Wee mchawi ndio mana unaweza kutuaminisha kwamba naw anatumia uchawi. Ni sababu ya ya tuzo tu ! Mbona hukutuambia toka anaanza kufanya vizuri yeye ni mchawi. Jiangalie sana mlokole usiejua thamani yako.
 
Kwa nini mafanikio ya mtu ni uchawi tuuuuuu si kipaji cha mtu. Diamond anawakosesha raha. Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu basi mpeni Diamond yaliyo ya Diamond ni kipaji chake jamani ahh aah!
 

Ujue wewe ni zaidi ya hata hao wachawi... Huko Nigeria unapodai anaenda kushiriki ibada za kishetani ushaendaga nae ukaona akifanya hilo jambo!!? Kama ndivyo tuletee japo ushahidi wa picha
 
So hata nyimbo anazotunga na kuimba ni uchawi pia au ?. Unahitaji kuwa na free mind kuelewa jambo mleta mada. Acha fitina na chuki kwa mwenzio.
 
Yaani kama uchawi ndio unaleta maendeleo bila kumuathiri mtu hata mimi nitakwenda ili nipate hayo maendeleo. Lakini kwani ninyi hampendi maendeleo si mwende mkaroge au tatizo nauli? Maana kama huu uchawi unabadili kura zote na macho ya watu kwenye keyboard yaani wanakuwa wanamuona Dai tu, hii safi sana
 
Hizi Ni Sign Za Kichawi.We Zishabikie Tu Shauri Yako.

Wewe hakuna unachowaza katika maisha yako zaidi ya uchawi.

Yaani unaamka " uchawi"

Unatembea"uchawi".

Unacheka " uchawi".

Unakula"uchawi"

Unalala " uchawi"

DOGofGOD you are DOGofDEVIL
 
Last edited by a moderator:

hahahahahahahaha nilipitwa jana duuuuh

Basi kiba inatakiwa aanze kwenda na yeye ili aache ulinzi porini apate nominations na tuzo kama mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…