Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

from now and onwards sina muda wa kubishana tena na satanic team.idioty
 
ngoja tutamvizia akilala tuna mvua ile pete na kuichoma moto
 
vp mbona munazirudia nyimbo za zamani au ndo ishara za kunyooka
 
Haujui chochote wewe umeandika porojo juu ya Chibu
 
Lakini tubonge ukweli...TEAM KIBA most of them ni VILAZA sana.
team kiba wote ni vilaza ila hawawezi kufanya huu ushenzi wala kiba mwenyewe hawezi pamoja na ukilaza wetu"


hapo kwa domo mnatakiwa mumpe ushauri ukiona ni sawa hivi basi unahitaji maombi'
 
Mlishindwa nini kumpeleka huko Nigeria yule team member wenu aliyeambulia nafasi ya mwisho?
 
Ndumba Za Nigeria Zimekupumbaza Akili.Ndomana Huwez Kuuona Ukweli Unaropoka Tu Kama Umekatwa Kichwa.

wewe lazima unajaribu bado ila haujui kuwa wenzako wanaishi na kupangiwa na Muumba, sasa endelea kujaribu nawe ndumba hizo zikukubali

hata kwa shiraini nenda kaweke kichwa uone kama utatoka basi, usisahau irizi pia hata kutoa ngoja niishie hapa mie maana eeeeh mtandaoni wengi ni wengi wa kutokea kila kona. kama haujaelewa kalale nalo wivu wivu umekujaaa maana kote umekataliwa na mananiliu yako usiwaleteee mikosi, si unajua na ya shetani yanachagua pia hazoi hivi hivi

ila kiboko ya yote ni kuwa na roho mtakatifu.

kafanye kazi jitume utengeneze pesa zako, waachie akina Chibu watanue kwa kazi zao za bidiiii khaaaaaa
 
Siyo FREEMASON,SI NI YULE MGANGA WAKE WA KIBAHA amma si NYOTA YA WEMA'si COLLABLE YAANI KUBEBWA NA DAVIDO........SI SI SI SI,,,,
 
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
kwani wapi kasema unamuonea wivu,amekuambiaaaa hata wewe ni mchawiiiii,usitake kupotosha maana
 

yule aliyeruka ukuta ulishawahi muuliza uchawi wake ni GB ngapi, au unakazi ya kupima wa wengine tuu???
 
Mimi Namuamini Mungu Ndomana Nakemea Vitendo Vichafu Vya Ushirikina.Na Mambo Ya Kutegemea Pete Za Bahati Ili Kupata Mafanikio Ni Shirki Kubwa Sn.

Mimi Ni Mbwa Wa Mungu.Kwa Uwezo Nilipopewa Na Mungu Naweza Kuwagundua Wachawi Kwa Kunusa Tu.

hivi hiyo pete ya bahati unayoipigia hapa hivi hutengenezwa na nani??? kwanini mtengenezaji asizivae nyingi awezavyo akamiliki dunia??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…