Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

from now and onwards sina muda wa kubishana tena na satanic team.idioty
 
katika bara la afrika.nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.

mafanikio ya ghafla ya chibu na mlolongo wa tuzo.zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za kinageria.safari nyingi za chibu za kwenda nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.

Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.

Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.
vp mbona munazirudia nyimbo za zamani au ndo ishara za kunyooka
 
Lakini tubonge ukweli...TEAM KIBA most of them ni VILAZA sana.
team kiba wote ni vilaza ila hawawezi kufanya huu ushenzi wala kiba mwenyewe hawezi pamoja na ukilaza wetu"
fcd27622b3909444a49f876da63333d7.jpg
fca7da9cfb6dbf90dbe9e117a3933cdd.jpg
9c972779ff425efe00b07ce776f9992b.jpg
a0f72c55c5848e9135b90b8ae2c7bc25.jpg
4aa5b5583dfcf539416a7d46a83feb60.jpg


hapo kwa domo mnatakiwa mumpe ushauri ukiona ni sawa hivi basi unahitaji maombi'
 
Mlishindwa nini kumpeleka huko Nigeria yule team member wenu aliyeambulia nafasi ya mwisho?
 
Ndumba Za Nigeria Zimekupumbaza Akili.Ndomana Huwez Kuuona Ukweli Unaropoka Tu Kama Umekatwa Kichwa.

wewe lazima unajaribu bado ila haujui kuwa wenzako wanaishi na kupangiwa na Muumba, sasa endelea kujaribu nawe ndumba hizo zikukubali

hata kwa shiraini nenda kaweke kichwa uone kama utatoka basi, usisahau irizi pia hata kutoa ngoja niishie hapa mie maana eeeeh mtandaoni wengi ni wengi wa kutokea kila kona. kama haujaelewa kalale nalo wivu wivu umekujaaa maana kote umekataliwa na mananiliu yako usiwaleteee mikosi, si unajua na ya shetani yanachagua pia hazoi hivi hivi

ila kiboko ya yote ni kuwa na roho mtakatifu.

kafanye kazi jitume utengeneze pesa zako, waachie akina Chibu watanue kwa kazi zao za bidiiii khaaaaaa
 
Siyo FREEMASON,SI NI YULE MGANGA WAKE WA KIBAHA amma si NYOTA YA WEMA'si COLLABLE YAANI KUBEBWA NA DAVIDO........SI SI SI SI,,,,
 
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
kwani wapi kasema unamuonea wivu,amekuambiaaaa hata wewe ni mchawiiiii,usitake kupotosha maana
 
acheni kumwaga povu q chief na rich mavoko walishawahi kulalamika kwamba daimond anaworoga na juzi babu tale alisema cloudz anaamini uchawi na anashiriki so we ukiamini usiamini does not matter lakini suala la uchawi wasanii wenzako walishalalamika zaaamani kwamba anawaroga ney wa mitego na daimond wanajuana vizuri saanaa kwenye hayo mambo ndo maana ney yupo karibu nae saanaa

yule aliyeruka ukuta ulishawahi muuliza uchawi wake ni GB ngapi, au unakazi ya kupima wa wengine tuu???
 
Mimi Namuamini Mungu Ndomana Nakemea Vitendo Vichafu Vya Ushirikina.Na Mambo Ya Kutegemea Pete Za Bahati Ili Kupata Mafanikio Ni Shirki Kubwa Sn.

Mimi Ni Mbwa Wa Mungu.Kwa Uwezo Nilipopewa Na Mungu Naweza Kuwagundua Wachawi Kwa Kunusa Tu.

hivi hiyo pete ya bahati unayoipigia hapa hivi hutengenezwa na nani??? kwanini mtengenezaji asizivae nyingi awezavyo akamiliki dunia??
 
Hapa Hatuzungumzi Ushabiki Tunazungumza Facts.Anaetumia Uwezo Wa Talent Na Anaetumia Uwezo Wa Ndumba Mwisho Wa Siku Atajulikana Tu Nani Mwenye Uwezo Na Nani Zaid Na Nani Anastahil Kuitwa King.[/QUOTE



this means watanzani hatuwezi endelea bila uchawi, sorry kwa wenye vipaji vyenu,maendeleo mtayasikia kwa wachawi tuuu, unataka kupata awards nominations nyingi loga tuuu kipaji rudisha veta, diamond nakuruhusu endelea kutuloga babaa, tuloge mpaka tunyooke, tuloge mpaka vipaji turudishe karakana, next show vua hadi boxer tuloge na dudu this time out, wewe ndio mchawi wao,wakuelewa tunaelewa, uchawi wako tunaujua, na tumeubariki, hakuna na hatatokea tena mchawi kama wewe, #kunamtukalogwa ????
 
Back
Top Bottom