Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wewe umetisha, wenzio tunasahau simu ofisini wewe unasahau gari? 🤣🤣Uko sahihi..
Mimi bwana ulevi wa magari sijui ulinikosa kosa vipi. Sijui ni kwasababu nimekuja kuwa intouch na hiv vitu wakat tayar nishazoea maisha ya kawaida au???.
Kuna hiyo siku moja ndio huwa najicheka mpaka kesho, nilisahau gari ofisini nimekuja kukumbuka tayari nakaribia nyumbani 😂😂