Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

Wewe umetisha, wenzio tunasahau simu ofisini wewe unasahau gari? 🤣🤣
 
Mnasemaga basii wote mpogi hivihivi na kauli zenu ni hizihizi..!
 
Anyways, mwambie nimesema nina 50 kabisa ambazo hata mama yangu bado hajafikisha.
Alikuzaa mapema sana na am sure benefits zake anaziona sasa. Bila shaka wasiowajua wakiambiwa huyu ndiye mama yake wanaweza kataa wkahis hawa labda ni washkaji tu
 
Mimi ndio maana magari siyapendi kwa mwanaume wangu, nilivyo sijui ingekuwaje hapo!
Ila pole, lazima angepata hisia tofauti maana ni kitu cha kushangaza, na kuchekesha pia.
Ni kwel haingii akilin, unasahauje gari, yan unaanzaje? Kwakwel maelezo pekee niliokuwa nayo yakanipa salama ni car key alone
 
Hilo linajulikana wazi wala halihitaji mjadala

Chanzo kikubwa ni umaskini uliopitiliza Tanzania
 
Wadada wa hivi Mpo ila ni wachache sana aisee.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wote hausema hivi, So nimekuelewa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…