Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

Sasa hao ndiyo kabisa, bila gari ni kama hau-qualify. Yaani aje akupitie muende date?
Hilo litakuwa zali la mentali.
 
Hao wanaozuzuka na magari ni wale ambao hawajayazoea na wamezaliwa home hakuna magari..!!
Kuzaliwa home hakuna magari siyo sababu ya kuzuzuka na Magazine, kuzuzuka na vitu mfano gari ni ushamba wa kuto vizoea vitu ata kwa kuwa na vyo kwenye mazingira yaliyo kuzunguka.
 
Una uongo mwingi sana.
 
Siku hizi nao Wana magari
 
Asante sana Legendary kwa somo hili maalumu. Kiukweli nimepata funzo kubwa sana hapa. Kumbe kuwakamata hawa cha muhimu gari eeh!!!....Imeisha hiyo, tushachukua mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…