Kwa hiyo unavyoamini uchawi wao ndo uliowasaidia kuendelea kuwepoNimechanganya,yeah bado wapo!..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa umeniacha hoi.Kumbe uchawi upo na unafanya kazi kwenye Soka!
.
Yatupasa na sisi wadau mbalimbali tuunganishe nguvu ili kuisaidia timu yetu pendwa inayoitwa Taifa Stars a.k.a ''Kichwa Cha Mwendawazimu''.