Uchawi watawala AFCON 2017

Uchawi watawala AFCON 2017

Hamna cha uchawi ni matter of saikolojia kuwapoteza wapinzani ,pia ukizingatia afrika tunapenda kuamini huo ujinga wa ushirikina na yeye kaenda nao sawa,uwanjani watu wanachemka na kuvuja jasho huku wakikipiga hamna cha ushirikina n majority wana hadithi nyingi za uongo walizosimuliwa halafu MTU anasimamia kuelezea kama anajuA while kahadithiwa
 
Hahahaaa atasema sukari au chumvi ilibaki mkononi aliyochukua kulamba.
 
Uchawi ungekua unafanya kazi basi hili timu letu la wehu lingefika World Cup na mpaka Africa lazima tungekua tumenyanyua World Cup mara kadhaa hasa ndugu Nigeria wangetuwakilisha vema.
 
Yaani huyo Andrew ayew licha ya kusukuma gozi ulaya miaka kibao bado anaamini imani potofu kama hizo? Shame on the guy!
 
Burkina Faso na Tunisia dakika ya 45 bado 0-0 additional 2 mins.
 
Dakika ya 80 na 85 Burkina Faso wanapata goli za haraka haraka 2-0.
 
Kumbe uchawi upo na unafanya kazi kwenye Soka!

.

Yatupasa na sisi wadau mbalimbali tuunganishe nguvu ili kuisaidia timu yetu pendwa inayoitwa Taifa Stars a.k.a ''Kichwa Cha Mwendawazimu''.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa umeniacha hoi.
 
Senegal na Cameroon dakika ya 45 bado 0-0
 
Extra time between Senegal and Cameroon
 
Nasubiri hadi siku nchi ya Afrika ikitwaa World Cup kwa uchawi..
 
Back
Top Bottom