Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

Umendika pumba nyingi sana, nakumbuka mpaka uchebe anavyomuingiza Miraj ajabu leo unakuja na historia yako feki hapa..
 
Ungemjibu kwa hoja kuliko hiki ulichoandika.
Mnaonekana wote mna tatizo la kumbukumbu, siwezi kuwalazimisha muamini mtakavyo navyojua na kuamini Miraj amecheza chini ya uchebe kwenye ligi, sijui unataka hoja gani hapo.
 
Watanzania ndivyo walivyo Uchebe alimtumia Miraji kwenye pre season tu na mechi labda mbili au tatu za ligi kabla hajafukuzwa sasa nashangaa huo usupa sub unapatikana kwenye mechi hizo
Umeanza kuyumba sasa imekuwa "alimtumia labda mechi mbili au tatu" hujui unachoandika unabahatisha tu.
 
Jaribu kukumbuka vizuri rekodi zako mkuu
Wewe ndie ukumbuke sio mimi, macho yangu na kumbukumbu zangu havinidanganyi, Uchebe alimtengeneza na kumtumia Miraj akawa moto, makocha waliofata ndio wakammaliza kipaji mpaka akaondoka Simba Sc.

Simba Sc inaenda kucheza na Lipuli kule Iringa chini ya Uchebe Miraj yuko moto, leo unasema vitu gani wewe....
 
Alimtumia muda gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…