Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

Jamaa acha ubishi aisee, Aussems kamtengeneza na kumtumia kijana, suala la muda sikuwa nahesabu miezi.
Wewe ndiyo mbishi na Kama huwezi kujibu unachoulizwa tuishie hapa.

Usije ukanitukana bure tu
 
Uliwahi kuiona Simba Sc ya uchebe iliyomuondoa Nkana Red Devils pale Taifa? Simba ya uchebe imewagonga sana waarabu kwenye makundi.
Pamoja na yote lakini hakuweza kuwafunga au kupata points ugenini kwa Waarabu.
 
Back
Top Bottom