wewe wa mkoani huko kwenye Account ya uchebe unafatilia nini.??. Binafsi sio wa dar ila nimekutoa kwenye chama chetu wa mikoani hatuko hivyo..Hamia DAR Na wewe
Mwanaume uliyekamilika huwezi kusema maneno hayo...Eti unamwambia mkeo apige kazi usiku na mchana halafu unasingizia Mungu hajakujalia umekaa tu unapost insta!!
Mungu husaidia wale wanaosaka na kuonesha bidii...sio unakaa umtegemee mkeo tu kwa kila kitu
wewe wa mkoani huko kwenye Account ya uchebe unafatilia nini.??. Binafsi sio wa dar ila nimekutoa kwenye chama chetu wa mikoani hatuko hivyo..Hamia DAR Na wewe
Na mimi Mama Gaude wangu inabidi apige kazi ili mumewe nisikose hela za bia. Unajua Kombe la Dunia linachezwa mwaka huu? Bila kula bia Kombe la Dunia halinogi kabisa, linakuwa kama Kombe la Mbuzi tu.