colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Duuh uchebe umetudhalilisha sna sisi wanaume wa kwel kisa tu unamuonekano kama wetu
So sad kwamba wazee wako walijua wamezaa kidume
So sad kwamba wazee wako walijua wamezaa kidume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege wanaofanana huruka pamoja mkuuShilole na mwanaume anaokuaga nao wanafanana akili
Ndege wanaofanana huruka pamoja mkuu
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!
Oneni akili za wanaume wa Dar!
![]()
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Uanaume wake utenguliwe atapangiwa majukumu mengine ya kivulana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] mkuuu umeuaaa!!!Na mimi Mama Gaude wangu inabidi apige kazi ili mumewe nisikose hela za bia. Unajua Kombe la Dunia linachezwa mwaka huu? Bila kula bia Kombe la Dunia halinogi kabisa, linakuwa kama Kombe la Mbuzi tu.