Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

ID fake hiyo, hakuna mtu anaweza kuandika kwenye mtandao kuwa mke wake alitaka kutoa mimba.

unaweza kufanya jambo ili mtu fulani aonekane mjinga kumbe wewe ndiyo unaonekana mjinga.
 
Kuna walakini mahali hapo...

Mwanaume uliyekamilika huwezi kusema maneno hayo...Eti unamwambia mkeo apige kazi usiku na mchana halafu unasingizia Mungu hajakujalia umekaa tu unapost insta!!

Mungu husaidia wale wanaosaka na kuonesha bidii...sio unakaa umtegemee mkeo tu kwa kila kitu

Pathetic!!!
Yy kujibidisha hataki anamwambia mke akazane kazi kweli kweli siku akichapiwa asije lalamika coz ndio anamtuma
 
i dont know, labda anaichukulia hiyo page kama ya fans wao... hiyo page ameikana sana na alisema anashangaa page imepata umaarufu zaidi ya page yake kutokana na kutokushinda mtandaoni...hii ni kama ile page fake ya ITV yenye umaarufu mkubwa ambayo ITV, CAPITAL radio, radio one waliikana sio yao..

UPDATE
account ya uchebe ni UCHEBE1 something like that...
Mbona shishi ana tag kwa uchebe na siyo uchebe 1
 
Yani unalazimisha na kuomba sana mke wako asiitoe mimba!!...Hii ni mpya kwakweli!..
 
Na mimi Mama Gaude wangu inabidi apige kazi ili mumewe nisikose hela za bia. Unajua Kombe la Dunia linachezwa mwaka huu? Bila kula bia Kombe la Dunia halinogi kabisa, linakuwa kama Kombe la Mbuzi tu.
Hivi ni mwezi wa ngapi linaanza?Natesekaga jamani kukesha!!
 
Screenshot_20180115-002552.png
 
Kumuoa shilole inahitaji ujasiri zaidi ya kwenda kutupa takataka geti la ikulu au kumu-overtake mlala nje akitokea wazo na magari manne
 
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!

Oneni akili za wanaume wa Dar!

f8936a7395f4afd29873fea113f3263a.jpg
HIYO ACCOUNT NI FAKE, REAL ACCOUNT NI @uchebe1
 
Back
Top Bottom