Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Mimi sijaona Tatizo lolote hapo kwani mwanamke anapaswa kujipanga na uzazi kwa baadae UCHEBE yuko sahii.
 
Hata kama Mwanaume atakuwa Mpumbavu kiasi gani hawezi kuandika ujinga kiasi hicho tena wa kujidharilisha mbele ya Jamii lazima kutakuwa na namna tu..,
Na kama ndo Wanaume wa Dar itabidi watangazwe kuwa Janga la Kitaifa!
 
Yaani huyu Uchebe, shishi aanze kumtandika vibao maana ubongo wake umeganda...hahaa anaposti vitu strange sana kiasi kwamba unaweza ukadhani ni maskhara ila ndo hali halisi..hata kama hana pesa sio kujidhalilisha kule.Poleni wanaume.
 
Kuna walakini mahali hapo...

Mwanaume uliyekamilika huwezi kusema maneno hayo...Eti unamwambia mkeo apige kazi usiku na mchana halafu unasingizia Mungu hajakujalia umekaa tu unapost insta!!

Mungu husaidia wale wanaosaka na kuonesha bidii...sio unakaa umtegemee mkeo tu kwa kila kitu

Pathetic!!!
Fact
 
Ila huyu fala ndo nn ss

Hivi kwanza huyu mwanaume anafanya kazi gani?![emoji15] aisee ndo nn ,instead yy ndo aseme atafanya kazi kwa bidii eti nn yaani huyu mwanaume
 
Huyo lazma element za uchoko anazo mwanaume hawezi kuandika ujinga huo,yani huyu ni mwanaume kaptula hajui hata bei ya kijiko yeye ni kula,kupika,kuny.....a
 
Back
Top Bottom